Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilikwambia nitakunyoa tu kivyovyote vile sasa hivi huna uwezo wa kubeba kombe mbele yangu,kazi iliyobakia ni kuzunguka tu kwenye majukwaa ya watu Hahahahahahahahah
Hahahahaha kwa mpira mliocheza mpka sasa mna point zetu sita kama sio nne.
 
Unawaza Burnley kuchukua point EMIRATES wewe jamaa kipigo kimekuvuruga.
Sasa uyo arsenal yuko nyumban anashinda kwa tabu namna hii ..basi hichi kikosi ni dhaifu sana..akifiki popote...

#KTBFFH[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Baada ya miaka 10 kwa mara ya kwanza Arsenal inashinda mechi mbili za mwanzo wa msimu.

Dani Ceballos MOTM

Up next Anfield to Liverpool.

Hii tukitoa sare litakuwa jambo la uzuri.
Mngekua na uwezo mumiliki mpira kama Chelsea sema ndio pumzi hamna lazima mchezee za kutosha.
 
Kuna timu unaenjoy kuangalia mchezaji akicheza. Man U wana Pogba, Chelsea walikua na Hazard sasa hivi Pulisic.

Halafu kuna timu unaenjoy kuiangalia yenyewe kama timu nzima. Sasa ndiyo Arsenal.

ArsenalBongeLaChama
Mbuzi tu nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Let's hope tuna vifaa hatujavichezesha ambavyo vitatusaidia kwenye game na Liva.

Chelsea walipigwa 4. Wavimba macho tukalaumu Kante kwavile hakuanza, true enough mechi na Liva Kante kaanza pale kati pakawa hapatoshi.

Guendouz akianza tunakufa.
Hahaa.. We jamaa bhana eti wavimba macho
 
Hiyo ikuonyeshe mchezaji yeyote akitoka Chelsea ana namba ya kuaminika Arsenal. Maana Luiz tangu blunder alizofanya mechi ya Red Bull aliambiwa hatapata namba first eleven kutokana na weakness zake. Lakn naona mmempokea kama shujaa.
Hahahahaha ya msaliti Luiz kaja moja kwa moja na kuingia kweny first XI ya arsenal[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli Chelsea tunajenga wachezaji...
 
Auba 36 appearances

Iwobi and Torreira 35 appearances

Guendouzi and Leno 34 appearances

Hio ndio record ya appearances ya last season kwa kikosi cha arsenal. Kwa hiyo unataka useme alikuwa anabebwa tu na kocha??

Give the kid space aiseee
Ukiniuliza mimi nitasema alicheza kwakua tulikua tuna options chache.

Ilikua Toreira akikwatuliwa mashabiki roho juu, maana ilikua ni mtihani nani atacheza.

Ok so amechea zaidi ya mara 30. Na hizi mechi 2 kaanza zote, bado ana matatizo yaleyale ya msimu uliopita.

Niles wa mechi za msimu uliopita, siyo wa mechi ya Newcastle na Niles wa leo amekua mtamu kuliko wa Newcastle.

Sasa hivi options tunazo na bado anamchezesha, whats that? Of coz ni mapenzi ya kocha kwa mchezaji.
 
Sasa jiulize angeenda Rudiger, Azzippilicueta, Emerson, Kante, Joginho, Pulisic?
Hahahahaha ya msaliti Luiz kaja moja kwa moja na kuingia kweny first XI ya arsenal[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli Chelsea tunajenga wachezaji...
 
Lacazette and Auba BEAUTI goals[emoji1624][emoji7]

Ceballos AWESOME technique and WONDERFUL assist to both Laca and Auba[emoji122]

All round ROCK SOLID defence[emoji1320][emoji57]

Nelson & Willock performing well[emoji1305][emoji106]

Mustafi no where to be found[emoji57]

Mkhi not starting[emoji57]

Super Leno[emoji7]

Nicolas Pepe's skill[emoji122][emoji1305][emoji39]
IMG-20190817-WA0015.jpeg
 
Dani Ceballos' game by numbers vs. Burnley:

100% take-ons completed
97 touches
90% pass accuracy
70 passes
19 duels
7 recoveries
5 crosses
4 take-ons completed
4 chances created
3 fouls won
3 shots
2 tackles made
2 assists

No one could get near him. [emoji126] https://t.co/3DwPY1oCkG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom