SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Tumchukie ametukosea nini? Mpira unachezwa uwanjani ambako kila mtu anatazama mzee na sio chumbani.Na nyie mna chuki binafsi na kijana. He is one of us!
Tumchukie ametukosea nini? Mpira unachezwa uwanjani ambako kila mtu anatazama mzee na sio chumbani.Na nyie mna chuki binafsi na kijana. He is one of us!
Hali ndio kama hii, with guendouzi in the team, tumechkua point 6 tayarTumchukie ametukosea nini? Mpira unachezwa uwanjani ambako kila mtu anatazama mzee na sio chumbani.
Mech imeishaje ,nipo kanisaniKwakua mpo nyumbani draw itapendeza.
Goli la Burnley limepatikana miguuni mwa GuendouzHali ndio kama hii, with guendouzi in the team, tumechkua point 6 tayar
Hahahaha against ChelseaOzil, shaka, bellerin, Tierney, elneny, mkhitaryan, holding, mavropanos, chambers, Martinez, saka
Hiyo ni timu nyengine that could play a game later today against Chelsea na ikashinda
Baba Guendouz kimeo... Kwani mechi za msimu uliopita ulikua unaziangalia?Kocha anajua zaidi. Mbona hamumpendi Guendouzi wazee???
Acha kumchukia Guendouzi mwanangu, tena sasa alitakiwa apongezwe coz he is not the last man kwenye kukosa chetu cha Leo lakini alikuwepo pale akin-track barnes. Pale kwa barnes alitakiwa awepo Luiz/SokratisGoli la Burnley limepatikana miguuni mwa Guendouz
Wakati reject wa Chelsea ni first team kwenuHahahaha against Chelsea
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaha against Chelsea
Anasemaje, Leo hata mech sijaangaliaWaliopo SSP 3 wamsikie Michael Owen anachosema kuhusu Luiz David. Sio mnaponda
Auba 36 appearancesBaba Guendouz kimeo... Kwani mechi za msimu uliopita ulikua unaziangalia?
Me ndio nshakwambia sasaWakati reject wa Chelsea ni first team kwenu
Simchukii. Ila naona hajatosha bado.Acha kumchukia Guendouzi mwanangu, tena sasa alitakiwa apongezwe coz he is not the last man kwenye kukosa chetu cha Leo lakini alikuwepo pale akin-track barnes. Pale kwa barnes alitakiwa awepo Luiz/Sokratis