Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unai unai kaanza tena masihara kwa kupanga watoto wakati wakali wanakaa benchi pepe kanunuliwa kwa hela kubwa halafu yupo benchi dah!!!!
 
Akicheza na Three at the Back itawaaccomodate wote kwa pamoja luiz,chambers na Papa ,nadhani ni option nzuri zaidi kwa uhakika wa kujilinda.

Matteo na willock kwa muda huu kuwa regular starter mimi naona bado mkuu, sijui wewe unaonaje?

Kocha anaweza kufelishwa na uchaguzi anaoufanya, maana kuna hawa madogo naona wanaenda kujihakikishia namba for nothing,
Nelson huyu ameshaiva ikiwezekana apewe namba ya kudumu.
Hiyo ikuonyeshe mchezaji yeyote akitoka Chelsea ana namba ya kuaminika Arsenal. Maana Luiz tangu blunder alizofanya mechi ya Red Bull aliambiwa hatapata namba first eleven kutokana na weakness zake. Lakn naona mmempokea kama shujaa.
 
David Luiz to make his #AFC debut. Ceballos also in from the start.
IMG_20190817_133451.jpeg
 
Hicho ndo ki nacho ni kera unamwekaje benchi chambers na moto wote ule aliuosha hauon unashusha hamasa ya mchezaj, ndo maana wanashukaga viwango
 
Hiyu kocha wenu vipi watu tunataka tuone combination ya Auba ,Lacazette, Pepe anaweka vitoto vyake.
 
Wilok & Nelson.

Hawa viumbe wanatakiwa watumie vyema nafasi wanayo pewa. Naamini hawato bweteka' wafate nyayo za Robb Holding
 
Hiyo ikuonyeshe mchezaji yeyote akitoka Chelsea ana namba ya kuaminika Arsenal. Maana Luiz tangu blunder alizofanya mechi ya Red Bull aliambiwa hatapata namba first eleven kutokana na weakness zake. Lakn naona mmempokea kama shujaa.
Kama Giroud vile
 
Back
Top Bottom