Ceballos kauwasha.
Kila mpira ulipo yupo.
Anajua kukaba.
Anatoa pasi.
Anapiga chenga za maudhi hadi watu wanamkumbatia. Hiki cheo cha ujuzi wa chenga tulitaka kumpa Iwobi, ila C3ballos hatumpi ni kachukua tayari.
Akiwa constant na hichi kiwango, Xhaka na Ozil watasahaulika.
Pepe bado anahitaji muda. Ila anafocus na mchezo, anamtoka mtu vizuri, kwenye pasi naamini kuna kitu anataka hakiwi ila kikiwa itakua ni uhakika na magoli.
Baada ya Pepe kuingia wachezaji wakawa wanampelekea sana mipira nahisi huko mazoezini hua anawaonyesha kazi zaidi ya tunayoiona huku uwanjani.
Hawa wote wapewe game time zaidi.
Mchezaji aliyesajiliwa kwa 80m bado anahitaji mda !!!!!!!!
Mchezaji aliyesajiliwa kwa njia ya mkopo wa hisani anaonesha kiwango tayari !!!!!!!!
Dunia mbaya sana hii, Utapeli upo kila sehemu









