Maisha bila ramli hayaendi. Halafu mimi siyo wa kwanza nyie ndio mlianzaMkuu,nimeshangaa sana na wewe unaamini ramli
Kama Giroud vile
Kwa kweli arsenal wanatakiwa wafanye vyovyote vil wamnunueHuyu Ceballos ni hatari.

kiukwel yuko vzr
Njoo nipe matokeo ,nipo kanisanMajirani mtatoboa kweli. Leo simuoni yule mtabiri wenu faki. AROON
Hebu tulia kaka 😄😄😄😄😄Huyu Willock kocha amuoni kama amechoka?
Kocha ana mapenzi binafsi na 'GUNDUZI'.Kwanini hajatoka Guendouz ili aingie Toreira? Badala yake kamtoa Ceballos!!!
Na tutakuwa entertained vya kutosha mwaka huuCeballoskiukwel yuko vzr
KweliTutakuwa kileleni leo japo kwa saa chache, na mechi inayofuata ni kigongo.
Kocha anajua zaidi. Mbona hamumpendi Guendouzi wazee???Kwanini hajatoka Guendouz ili aingie Toreira? Badala yake kamtoa Ceballos!!!
Na nyie mna chuki binafsi na kijana. He is one of us!Kocha ana mapenzi binafsi na 'GUNDUZI'.
Game na liver tukimuanzisha luiz tumeisha