Kazd mguu, duuhTumekataliwa goli kwa off side
Hivi hao Nelson na Willock ndo wanazuia Pepe asianze. Unai is not serious asee.David Luiz to make his #AFC debut. Ceballos also in from the start.View attachment 1183662
HahahahahahahahahGame na liver tukimuanzisha luiz tumeisha
Mshaanza kumsingizia refa. Hamna lolote. Kocha wenu ndio shida yenu na kikosi chake cha mbuga.Daaah huyu refa ngoja tuone.
Mkuu unamuangaliaga anavyoanguka hovyo huyu jamaa?Control nakubaliana na wewe ila sio stamina, kijana rate yake ya ku-win mipira ya juu ni mizuri, ana pumzi za kutosha, ana stamina nzuri, he is one of us as well.
Unai ana dharau sanaYuko sahihi. Hichi kikosi kuna watu 4 hawatakiwi kuanza kwa maoni yangu. Guendouzi, Willock, Monreal na Nelson.
Uko sahihi kuna kamba mbili tumekoseshwa na WillockNi mimi pekee yangu ninayeona Nelson na Willock wanatakiwa kutumika Carabao Cup na baadhi ya mechi kuingizwa dakika ya 80?
Hawa watoto wakina nelson na willock bora wangekua wanaanzia benchi na Ku ingia kipindi cha pili kama lengo nikuwapa exposureHivi hao Nelson na Willock ndo wanazuia Pepe asianze. Unai is not serious asee.
We know but hatuwezi kuchezesha all the time watu hao hao. Hata hivyo hao vijana ni lazima wampate game timesYuko sahihi. Hichi kikosi kuna watu 4 hawatakiwi kuanza kwa maoni yangu. Guendouzi, Willock, Monreal na Nelson.
Mbona torreira alianzia benchMchezaji mpya hawezzi ku adapt mfumo wa timu kwa kumuweka benchi huyu Unai ni bure kabisa
Bora useme wewe kakaMsipende kuwa Lia lia tazameni game second half then mjifunze kwanini kocha alipanga kikosi kile kwenye press baada ya game. Kuweni na subira wazee