Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal haiperfom kabisa mechi ya kwanza tulishinda kwa shda hii nayo pia haieleweki sababu ni upangaji wa kikosi kwa ujumla
 
Tatizo hana control, stamina, na ana pasi za kusakizia
Control nakubaliana na wewe ila sio stamina, kijana rate yake ya ku-win mipira ya juu ni mizuri, ana pumzi za kutosha, ana stamina nzuri, he is one of us as well.
 
Mchezaji mpya hawezzi ku adapt mfumo wa timu kwa kumuweka benchi huyu Unai ni bure kabisa
 
Back
Top Bottom