Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unfortunately for Arsenal - the party's over and you better accept it soon. May be you will scramble into a fourth place finish, but that is not certain as well.

Why is Wenger the only person in the Premier League that doesn't realize that Arsenal needs an experienced striker.....and a world class/proven GK??

Last time I checked, games are won by scoring more goals than your opponent, not by playing "an attractive football"!

Mkuu umeangalia mpira au kusimuliwa?
 
Mkuu umeangalia mpira au kusimuliwa?

Mkuu, hata kama mmecheza ''vizuri'', you have nothing to show. Ruthlessness mbele ya goli ndo mpango mzima, sio mambo ya ''chenga twawala'' au ''tumewakosa kosa''
 
Yaani mkifanya fujo na kubebwa ndio halali? Naongelea mpira jinsi ulivyochezeshwa siongelei habari ya kukosakosa wala nini? Bila referee kuwa biased/kuhongwa hakukuwa na goli!
 
Broda Consultant ... ..... .... hupendi ukweli usemwe?

Mimba inapoharibika, waungwana huwa hawaulizi ''eti, alikuwa wa kiume au wa kike!?....''.

So, songa mbele mkuu, after all, ni mechi ya 7 tu!
 
Yaani mkifanya fujo na kubebwa ndio halali? Naongelea mpira jinsi ulivyochezeshwa siongelei habari ya kukosakosa wala nini? Bila referee kuwa biased/kuhongwa hakukuwa na goli!
Endelea kulialia kama kawaida yako, sisi tunakusanya pointi.
 
Mimba inapoharibika, waungwana huwa hawaulizi ''eti, alikuwa wa kiume au wa kike!?....''.

So, songa mbele mkuu, after all, ni mechi ya 7 tu!

Ndio maana ya forum au huelewi runafanya uchambuzi jinsi mlivyoshinda na kama sio halali hakuna wa kuwapongeza, hamuwezi kujidai.

Endelea kulialia kama kawaida yako, sisi tunakusanya pointi.

Hakuna anayelia hapa tunaeleza facts tulizoziona ndio sababu ya Forums kama mkishinda kiuhalali tutawapongeza sio kubebwa I'm sorry? Tunaona jinsi mnavyoporomosha matusi hapa. Yaani hiyo kuwa Mafioso sio mtukane watu lakini ndiyo tabia yenu, you never win without a controversy.
 
Una ****** madogo!
 
Didier Drogba is Arsenal's tormentor again as Chelsea tighten their grip at the top of the Premier League
 
Huko kuonewa umeona peke yako? Mbona wenzio wote wamekubali kufungwa kihalali (including your own coach, Wenger). Acha hizo, siku mojamoja uwe unakubali kufungwa, bitter loser.
 
Chelsea-v-Arsenal-Didider-Drogba-goal_2511023.jpg
 
Huko kuonewa umeona peke yako? Mbona wenzio wote wamekubali kufungwa kihalali (including your own coach, Wenger). Acha hizo, siku mojamoja uwe unakubali kufungwa, bitter loser.

Maneno ya Wenger haya hapa wacha uongo, mkubwa wewe sasa

. .... ..... .... the first goal was a foul on Song from Ramieres – 100 per cent foul
 
Really I don't understand why Wenger is still called the Professor.

Year in, year out he plays Chelsea the same way, gets the same result – DEFEAT!
 
'kudaaaadeki wallahi Chelsea!', yaani ndio weshatufanya mateja wao?
Inauma sana aisee.

Anyway, Hongereni sana 'watani'
Labda game ijayo tunaweza kuambulia angalau draw!
 
7 Games Down, 31 to go!....

1. Chelsea
2. Manchester City
3. Manchester United
4. Arsenal
5. Tottenham Hotspur

yaani huu msimamo ushaanza kunitia presha...
 
Back
Top Bottom