Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Achana nae AW no wonder he calls himself REV to cover his obvious bogasness and stupidity
I need ur ass for funny! Chelsea 2 - ArseNIlL 0
Achana nae AW no wonder he calls himself REV to cover his obvious bogasness and stupidity
Hawa jamaa miaka ya hii wametunyanyasa kwelikweli!
Tumepoteza hii mechi kwa sababu tumeshindwa kuzitumia nafasi tulizopata, anyway Ligi bado inaendelea na nafasi bado tunayo kubwa tu, tukirekebisha makosa madogomadogo kama finishing na wakirudi akina Walcoltt, RVP na Fabregas tuko OK.
Wewe sijui leo umelewa ama vipi? umekuja kumwaga matusi bila sababu ya msingi, nilikuwa nakuheshimu zaidi kutokana na avatar yako. Kuna banter tunapeana humu za kimichezo sio kuanza kutukashifu kwamba sijui Ladies na matusi ambayo siwezi kuyarudia, ama ndio kwa vile una usahiba na akina Invisible? sio uungwana mshkaji.OOhhhhh kumbe! Poleni sana
Tumepoteza hii mechi kwa sababu tumeshindwa kuzitumia nafasi tulizopata, anyway Ligi bado inaendelea na nafasi bado tunayo kubwa tu, tukirekebisha makosa madogomadogo kama finishing na wakirudi akina Walcoltt, RVP na Fabregas tuko OK.
Wewe sijui leo umelewa ama vipi? umekuja kumwaga matusi bila sababu ya msingi, nilikuwa nakuheshimu zaidi kutokana na avatar yako. Kuna banter tunapeana humu za kimichezo sio kuanza kutukashifu kwamba sijui Ladies na matusi ambayo siwezi kuyarudia, ama ndio kwa vile una usahiba na akina Invisible? sio uungwana mshkaji.
WTF mbwiga nijipendekeze kwako kwa kitu gani GET A LIFE!! mimi sio mtu wa kujibishana umeelewa? End of! sitaongeza neno hata ukirudi kwa sababu wewe ni faggot unayejificha kwenye kivuli cha kompyuta na chakula ya Invisible, Now mwambie bwanaako Invisible anipe ban, mbwiga takataka.Go to hell buddy wala usijipendekeze kwangu!
Duh mtani yameshakuwa haya tena? Ebanae chill out bro.WTF mbwiga nijipendekeze kwako kwa kitu gani GET A LIFE!! mimi sio mtu wa kujibishana umeelewa? End of! sitaongeza neno hata ukirudi kwa sababu wewe ni faggot unayejificha kwenye kivuli cha kompyuta na chakula ya Invisible, Now mwambie bwanaako Invisible anipe ban, mbwiga takataka.
Mimi siko ivo ila huyu mbwiga amerusha stimu,mimi sijavuka line naongea kiushabiki yeye ameanza kunitukana, nimejaribu kuwa muungwana samahani kwa lugha chafu.Duh mtani yameshakuwa haya tena? Ebanae chill out bro.
On the other hand poleni waungwana.
Aisee matusi vizuri huku majuwaa yetu ya michezo wajameni..mkianza maugomvi na huku wengine tutaacha kuja.
WTF mbwiga nijipendekeze kwako kwa kitu gani GET A LIFE!! mimi sio mtu wa kujibishana umeelewa? End of! sitaongeza neno hata ukirudi kwa sababu wewe ni faggot unayejificha kwenye kivuli cha kompyuta na chakula ya Invisible, Now mwambie bwanaako Invisible anipe ban, mbwiga takataka.
Hawa jamaa miaka ya hii wametunyanyasa kwelikweli!