Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1.Wewe hata sijui unaangalia mechi gani?
2. Mimi sina utani na wewe kwa hio ningeomba uniheshimu tu kama ninavokuheshimu mimi.
3. If you wanna bring it onI'm sorry to say you got the wrong guy and I mean it!!

Ur sick ArseNIL fun! cant help
 
We will bounce back in the second half Diaby inabidi atoke aingie Denilson maana amecheza hovyo sana first half still he needs to work onhis decision making when he fets the ball. Hata hivyo mtanange bado mgumu, Chamakh is so lazy upfront twamsubiri Bongo next weekwend tutamkabidhi Canavaro...
Tafauti kwenye hii mechi ni kwamba tumepata nafasi zaidi ya 3 tumeshindwa kuzitumia wakati wao wamepata nafasi 2 (zote Drogba) na amefanikiwa kufunga 1, ila kabla ya hilo goli Song alichezewa rafu ila Mike Dean kama kawaida yake hakuona kitu.
 
1.Wewe hata sijui unaangalia mechi gani?
2. Mimi sina utani na wewe kwa hio ningeomba uniheshimu tu kama ninavokuheshimu mimi.
3. If you wanna bring it onI'm sorry to say you got the wrong guy and I mean it!!

Achana nae AW no wonder he calls himself REV to cover his obvious bogasness and stupidity
 
Achana nae AW no wonder he calls himself REV to cover his obvious bogasness and stupidity

Hakuna haja ya kurumbana na hata kutukanana best, hapa ni sehemu ya kupeana raha hata kama mtu atakuwa anakuchallenge elewa kuwa ni hali ya utani wa kimchezo. Tulia mkuu!
 
clear header Chamakh .

No Denilson kweli au ana beef nae Wenger? manake Diaby anambeba tu .noma sana.
 
Duh noma what a thunder storm by Alex let me watch Borussia Dortmond vs Bayern Munich , Dortmond scored the second goal almost similar to one scored by Alex
 
Back
Top Bottom