Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uwezo wa Wenger ushakuwa obsolete. Na huyu kipa wao naye katuumiza leo!
 
Mambo hayo 2 up wapo kumi tu kwa hiyo wote wanazuia tu sasa.
 
Hii faul ya Gibbs ilikuwa nje ya pen. box. Hawa marefa sijui vipi jamani!
 
Uongo mbaya hii timu ya Partizan kiwango chao ni kidogo hata kama wametubana!
 
Back
Top Bottom