Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Hahahahahahahahah mkuu haya ni matusi makubwa hahahahahahahahahNasikia Unai kapewa pound mil 40 tunamshauri amnyake Samatta chap maana ana thamani ya pound mil 12. Akizubaa apo ndo basi tena.
Sasa nyie arsenal munatofauti gani na Sisi ambao hatusajili kabisa![]()
