Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
siku ya kufa nyani power ya nini? alikuwa a-press tu, bado tumbo joto
...hatimae wamepewa goli. mcheza kwao hutunzwa!
siku ya kufa nyani power ya nini? alikuwa a-press tu, bado tumbo joto
...hatimae wamepewa goli. mcheza kwao hutunzwa!
Duuuh....ngoja nilale...Dkk ya 94...wamesawazisha...............................
siku njema wakuu.matokeo kama haya ya dakika za mwisho yanauma vibaya sana.
Duuuh....ngoja nilale...Dkk ya 94...wamesawazisha...............................
Pamoja na yote ila pointi 1 stadium of light na ukizingatia tumecheza watu 10 sio mbaya sana, ila kinachouma ni kwamba tulipata nafasi ya kuzoa pointi zote 3 na tumechemsha, afadhali ya sisi kuliko ManU magoli mawili dakika 2 za mwisho.Mlipewa panalti ikaota mbawa za Mbayuwayu!
Pamoja na yote ila pointi 1 stadium of light na ukizingatia tumecheza watu 10 sio mbaya sana, ila kinachouma ni kwamba tulipata nafasi ya kuzoa pointi zote 3 na tumechemsha, afadhali ya sisi kuliko ManU magoli mawili dakika 2 za mwisho.

Kweli, tusubiri Man U hiyo kesho.Mbona mechi ya leo haina uhusiano wowote na Manu?! Au visingizio tu,ha ha..kubali matokeo,ligi inaendelea!
BJ maisha yote ligi hii mimi naangalia perfomance ya wapinzani wetu wa jadi ManU, Chelsea na Liverpool.Mbona mechi ya leo haina uhusiano wowote na Manu?! Au visingizio tu,ha ha..kubali matokeo,ligi inaendelea!
Mimi sijatoa kisingizio kuhusu Song, alistahili kadi nyekundu fair and square, ninalaumu timu yangu zaidi Rosicky kwa kusababisha tupoteze pointi 2Acha kulia lia wewe last three mechi mumekuwa mkicheza 11 zidi ya wachezaji kumi wa timu pinzani! Unakumbuka? Kwa maana hiyo Arsenal hawezi shinda timu zikiwa zote kamili 11
BJ maisha yote ligi hii mimi naangalia perfomance ya wapinzani wetu wa jadi ManU, Chelsea na Liverpool.
Mimi sijatoa kisingizio kuhusu Song, alistahili kadi nyekundu fair and square, ninalaumu timu yangu zaidi Rosicky kwa kusababisha tupoteze pointi 2
nili mmind sana,yeye kila kitu nduki tu.