mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
ohoo.jahazi lina zama hilo
Siwez kujibishana na newcastle
Siwez kujibishana na newcastle
Kweli wewe mjinga, kama unavyojiitaohoo.jahazi lina zama hilo
Hawa Wachezaji wa mafungu mafungu hawatawapa chochote zaidi ya vipigo tuTUNARUDI SAMPDORIA TENA, BAADA YA LT11,
Arsenal scouts were in attendance to assess Sampdoria midfielder Dennis Praet against Lazio on Sunday. The Gunners are considering a £20m move for the midfielder, who could be reunited with Lucas Torreira at the Emirates. (Gazzetta dello Sport)View attachment 1084015
Mkuu mbona wiki tatu hizi umekuwa mkali sana tatizo ni niniKweli wewe mjinga, kama unavyojiita
vipigo mfululizo lazima awewesekeMkuu mbona wiki tatu hizi umekuwa mkali sana tatizo ni nini
Hawa Wachezaji wa mafungu mafungu hawatawapa chochote zaidi ya vipigo tu
Unapenda kudandia kila kitu, wewe jamaa duhMkuu mbona wiki tatu hizi umekuwa mkali sana tatizo ni nini
Wewe wa paun 100 wamekupa nini mpaka sasa, tuanzie hapa, maana sion ukibeba taji lolote msimu huuHawa Wachezaji wa mafungu mafungu hawatawapa chochote zaidi ya vipigo tu
Wewe timu gan mkuu, tuanzie hapa isije kuwa ni chelwowo ,au looserpool,au nyumbuBeki hakuna kumejaa mapazia halafu kila siku viungo tu, huyo Ramsey kawachanganya sana, bure kabisa hili litimu
Wewe timu gan mkuu, tuanzie hapa isije kuwa ni chelwowo ,au looserpool,au nyumbu
Hili swali nitakujibu msimu ukiishaWewe wa paun 100 wamekupa nini mpaka sasa, tuanzie hapa, maana sion ukibeba taji lolote msimu huu
Mkuu punguza hasira umekuwa mkali sanaaaaa mbona haukuwa hiviUnapenda kudandia kila kitu, wewe jamaa duh
Utaonekana huo msimu au ndio utabadili ID,Hili swali nitakujibu msimu ukiisha
Kwakuwa hufatilii habari za klabu,Mzee baba, kila siku tetesi za viongo tuuuu, husikii beki akizungumziwa. Yule mwamba aliyemleta Mateo na toreira atakumbukwa tu, alimkataa kiazi toka Barcelona, kocha akamng'ang'ania, kiko wapi? Hizo tim nyingine achananazo.
Mkuu punguza hasira umekuwa mkali sanaaaaa mbona haukuwa hivi
Mkuu panga head to head miaka 10 iliyopita.Cheltako inarud kwenye hadhi yake ya kina Fulham ,
Timu zote za London ukipanga head to head hakuna aliyemzid arsenal,


Mkuu achaneni na watoto wa shilingi mia mia..wekeni mipango ya kununua kina Mbape. Utoto mwingi sana hapo Emirates.Today an #Arsenal’s scout will be in Italia to watch Dennis #Praet in Sampdoria-Lazio. #Gunners are interested in him (is one of the #Emery's ideas to replace #Ramsey) and it is not the first time they follow him and it has already been appreciated. #transfers #AFC
MAREHEMU ALIKUWA NA MDOMO SANA.Poleni wafiwa kwa msiba mzito
Hivi mazishi yanafanyika Emirates au Gongo la mboto?
Tunamuomba pia Arron atupe historia fupi ya marehemu kwa niaba ya wafiwa