Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Njema mkuu, kikosi kitatoka sio muda,nitakileta hapa
Leo naiman vijana hawatatuangusha ,watajituma
Kimeishatoka
Njema mkuu, kikosi kitatoka sio muda,nitakileta hapa
Leo naiman vijana hawatatuangusha ,watajituma
Ni mkataba tu, hata FA hawaonyeshiKuna ttzo gani dstv Na UEFA wakuu
Game za Europe wamegoma kabsa
Kuonyesha
Huwa nawashangaa watu wanaomponda Unai wakati Klopp msimu wake wa kwanza Liverpool ilimaliza nafasi ya 8 na huu ni msimu wake wa nne hata kikombe cha chai hana.Mkuu emery ndio msimu wake wa kwanza, hebu muache kama madirisha matatu ajenge timu ,tutamjaji,
Klopp msimu wa kwanza hata top 4 alikuwa hagombei. ,mm kwangu unai ka jitahid sana, ila amekosa wachezaji wakumsaidia, ndio maana anahitaji madirisha karibu matatu, atengeneze jeshi lake litakalomtii
Ni kweli ngoja aondoe mizigo, alete watu wake ,then tutamuhukumu,Huwa nawashangaa watu wanaomponda Unai wakati Klopp msimu wake wa kwanza Liverpool ilimaliza nafasi ya 8 na huu ni msimu wake wa nne hata kikombe cha chai hana.
Tumpe muda Unai, mabadiliko ya timu huchukua muda.
Ni mkataba tu, hata FA hawaonyeshi