Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ww ni mvuta sigara?
Ww ni mvuta sigara?
Wewe ni nan ,na ni timu gani, ?Midomo arsenal itawaua mpira ulaya si wa bongo na utabiri hewa
ulishaanza nitaanzaje na mimi mimi ni member wa jf nachowambia mnatakiwa majadili malengo ikiwemo kikos sio mnaruka kila gemu mbeleni maneno chungu nzima mnashinda bila kutafakari mmekosea wapi ARSENAL MTAANI MITANDAONI NI KELELE SAIV UTASIKIA EUROPA YETU UTADHANI USHAFUZU NUSU FAINALIWewe ni nan ,na ni timu gani, ?
Umepata kibari wapi cha kuzuia arsenal fans wasiongee?tuanzie hapo
Jibu swali wewe ni fan WA timu gan, au jf ni timu, au umekuja kupiga mboyoyo humu, mbona tukishinda hamji ,tukifungwa mnakuja,,hii I'd yako ndio naiona Leo humu,ulishaanza nitaanzaje na mimi mimi ni member wa jf nachowambia mnatakiwa majadili malengo ikiwemo kikos sio mnaruka kila gemu mbeleni maneno chungu nzima mnashinda bila kutafakari mmekosea wapi ARSENAL MTAANI MITANDAONI NI KELELE SAIV UTASIKIA EUROPA YETU UTADHANI USHAFUZU NUSU FAINALI
Dah acha tu kaka, wachezaji walishafit mfumo WA 3-4-2-1 ,kocha anabadili kila game sijui anatafuta nn, ila chance bado ipo baada ya sare ya 1-1 ,Aaron pole sana Ndugu, maana ni mechi ya 3 mfululizo unafungwa, siongei sana maana Chelsea hafiki popote ktk top 4 zaidi ya kucheza EUROPA tu.
Huo mtaa una mwenyeweShusha aiseehuo mtaa hamuwezi kuhama
hahaha mtu anakaa uko geza ulole alafu anakuja na utabiri wake uchwara wa kuingia top four..Midomo arsenal itawaua mpira ulaya si wa bongo na utabiri hewa
Man sixHuo mtaa una mwenyewe
Ngoja tuone hadi game ya mwisho kama utamaliza top 4, maana umekuwa mpiga mboyoyohahaha mtu anakaa uko geza ulole alafu anakuja na utabiri wake uchwara wa kuingia top four..
HahahahahaJibu swali wewe ni fan WA timu gan, au jf ni timu, au umekuja kupiga mboyoyo humu, mbona tukishinda hamji ,tukifungwa mnakuja,,hii I'd yako ndio naiona Leo humu,






Huyo jamaa simjui, kumbe ni chelwowo mwenzako?Hahahahaha
Leo unakana utujui mkuu ...kweli Kipigo kimekupa headache.
Mimi nakupa stats za uwakika za kuingia top four ..wewe unaleta masikhara ...kwa ufupi ni kwamba wewe manure anakutoa apo nafasi ya tano ..wewe Mara ya mwisho unamaliza juu ya Chelsea ilikuwa ni gan vile..Ngoja tuone hadi game ya mwisho kama utamaliza top 4, maana umekuwa mpiga mboyoyo
Umekuwa mpiga ramli,Mimi nakupa stats za uwakika za kuingia top four ..wewe unaleta masikhara ...kwa ufupi ni kwamba wewe manure anakutoa apo nafasi ya tano ..wewe Mara ya mwisho unamaliza juu ya Chelsea ilikuwa ni gan vile..
huyo jamaa ni mropokaji tu utapoteza muda wako bure kujibizana nae. Mpira wake huyo upo mdomoni. Nikumwacha na ujinga wakeulishaanza nitaanzaje na mimi mimi ni member wa jf nachowambia mnatakiwa majadili malengo ikiwemo kikos sio mnaruka kila gemu mbeleni maneno chungu nzima mnashinda bila kutafakari mmekosea wapi ARSENAL MTAANI MITANDAONI NI KELELE SAIV UTASIKIA EUROPA YETU UTADHANI USHAFUZU NUSU FAINALI