eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Natoa rambi rambi zangu za kweli kutoka moyoni
Poleni sana
Poleni sana
Hahahahahahahahah ukikuta anavyopiga hesabu uchwara za kuingia Top four unabaki kucheka tuhahaha mtu anakaa uko geza ulole alafu anakuja na utabiri wake uchwara wa kuingia top four..
Nimesha kwambia na nitaendelea kukwambia unapigwa Europa na top four huingiiNguvu tuhamishie Europa ,
Huku kwa mechi zilizobaki pia nafas bado IPO,
Nawewe Unaropoka ,hujui kitu, wewe EPL, hubebi, UCL, kuna mess, 30yrs loading, unaenda 90+point bila taji,Nimesha kwambia na nitaendelea kukwambia unapigwa Europa na top four huingii
Tutakuja kufukua kaburiKwa mechi mbili zilizobaki mmh. Arsenal anarudi kwenye nafasi yake ya sita, take my word
Msimamo mpya utakuwa kama ifuatavyo
- Man City 98
- Liverpool 97
- Spurs 74
- Chelsea 72
- Man United 71
- Arsenal 70
Mkuu kweny Europa ndo basi tena, pale walipofika hatuna budi kuwapa mkono wa kwaheri..Nimesha kwambia na nitaendelea kukwambia unapigwa Europa na top four huingii
Nyumbu hata ile draw kwetu ni faida mkuu ...sasa ngja tukuoneshe namna tutakavyomkalisha LeicesterUmekuwa mpiga ramli,
Mimi najua chelwowo ni timu ndogo , nimekwambia subiri mech ziishe ndio upige kelele, lasivyo najua utakimbia ,
Uzuri ukweli unaujua, kama umeshindwa kuifunga nyumbu ujihakikishie top. 4, basi nakuomba umalizie hizo mech 2, nione jeuri yako,
Mkuu mimi naona kabisa nafasi ya tatu tunaeza pita nayo, maana spurs ameweka focus kweny uefa ..so kwny lig hatakaza sana ..Kwa mechi mbili zilizobaki mmh. Arsenal anarudi kwenye nafasi yake ya sita, take my word
Msimamo mpya utakuwa kama ifuatavyo
- Man City 98
- Liverpool 97
- Spurs 74
- Chelsea 72
- Man United 71
- Arsenal 70
Chelwowo. ...hawa hawa walioanza 2004?Nyumbu hata ile draw kwetu ni faida mkuu ...sasa ngja tukuoneshe namna tutakavyomkalisha Leicester
Nimekuambia London time ni moja tu CHELSEA.
#KTBFTFH
Wewe timu gan ,tuanzie hapo kwanzaarsenal mdebwedo.mechi tatu mfululizo za ligi mnachezea kichapo.
Wewe timu gan ,tuanzie hapo kwanza
Basi hapa hapakufai ,ila bora Newcastle kuliko chelwowonewcastle united
Basi hapa hapakufai ,ila bora Newcastle kuliko chelwowo
Siwez kujibishana na newcastlesasa nyie arsenal tatizo nini mnafungwa fungwa ovyo.