Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kazi Yao kupanua tu watu wanajipigia magoli matatu matatu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kali ya kibabe sanaaaa....

Kwa lile tambala lao pale golini linatanua wauni wa nafanya yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mkuu unaweza kweli kuropoka hapa pazia lako kepa kufananisha na Leno?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtafuteni AROON popote alipo man huu msiba kwa sio wa kucheka tena. Ni kujumuika wote kwa pamoja na kuhuzunika..
Wanitafute kwan mm nimeenda wapi,

Una London derby na Watford, utachomoka kweli wewe na pazia LA pauni 71?
 
Sasa mkuu unaweza kweli kuropoka hapa pazia lako kepa kufananisha na Leno?
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu kipigo kimevuruga akili yako. Toka mchana nilikupa tahadhari kuhusu Leicester ..sasa angalia kipigo nnayoenda kumpa. Ndo utajua kuwa una timu mbovu.

London timu ni moja tu CHELSEA.
 
Hahaaa cheltako ndio timu bora?

Kwa taarifa yako chukua takataka zote London , wote mataji hayafikii jumla ya arsenal. ,

Wewe umeahindwa kumfunga nyumbu, unasa una timu nzuri kweli?
 
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu kipigo kimevuruga akili yako. Toka mchana nilikupa tahadhari kuhusu Leicester ..sasa angalia kipigo nnayoenda kumpa. Ndo utajua kuwa una timu mbovu.

London timu ni moja tu CHELSEA.
Cheltako inarud kwenye hadhi yake ya kina Fulham ,

Timu zote za London ukipanga head to head hakuna aliyemzid arsenal,
 
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu kipigo kimevuruga akili yako. Toka mchana nilikupa tahadhari kuhusu Leicester ..sasa angalia kipigo nnayoenda kumpa. Ndo utajua kuwa una timu mbovu.

London timu ni moja tu CHELSEA.
Cheltako hii hii ndio timu bora? Hahaaa

Ngoja nicheki game nitakurudia baadae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom