Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We fala nini soma upya au nikusaidie wewe kilaza spurs ana point 70 kama angefungwa angekuwa na 68 na Arsenal 68 ndo ilikuwa mechi muhimu sana sababu pia tulipata penalty dk ya 90 timu ya Arsenal Manchester United na Chelsea Chelsea spurs wote ni wabovu na ni timu za kusafisha wachezaji nimekusaidia kukufafanulia
Relax kijana hasira za nn
Kipigo kimekupa kiwewe
 
We fala nini soma upya au nikusaidie wewe kilaza spurs ana point 70 kama angefungwa angekuwa na 68 na Arsenal 68 ndo ilikuwa mechi muhimu sana sababu pia tulipata penalty dk ya 90 timu ya Arsenal Manchester United na Chelsea Chelsea spurs wote ni wabovu na ni timu za kusafisha wachezaji nimekusaidia kukufafanulia
kwani mkuu hizi mechi mlizopoteza points 9 na Auba kukosa penati stori ni ipi hapo?? me sioni tatizo kupoteza 3 na kupata 9 kwa hesabu rahisi 9-3 = 6 sasa ukichukua hizi 6 ukiongezea na points zenu za sasa si mngekuwa kwenye mbio za ubingwa na nyie

by the way huu mchezo hauhitaji hasira
 
Hapa napingana na wewe!

Kuna Mashabiki wa Aina mbili:

1) Wanaofatilia mpira tu bila ya kufatilia jambo jengine lolote. (Hawa ukiwauliza hata ni Refa gani au Commentators gani Walioparticipate kwenye game yao basi hawajui).

2) Kuna mashabiki wanaoangalia Mpira na kila kinachohusiana na Mpira.

Turudi kwenye point!
• Mimi ni Mshabiki wa Liverpool lakini Michael Oliver ni Refer ambaye anatufavour katika Maamuzi mengi ya utata na Ndiyomana mechi akichezesha yeye tunashinda japo kwa Tuta la Utata.

• Michael Oliver ni Refa anayezichukia Sana Timu za London (Arsenal na Chelsea) Na ndiyomana Akichezesha Game ya Chelsea anakuwa na Maamuzi mengi ya Utata yanayoiumiza Chelsea.

Timu pekee ambayo anayoipenda kindakindaki ni Spurs tu.

Na yupo Neutral kwa Man United haipendi wala haiumizi.
Mimi kwa upande wangu huyu jamaa akitenga tuta hata ubishe vipi tuta hana penalty nyepesi ukifanya kosa la kukuhukumu kadi nyekundu atakupa tu,tatizo watu wanataka refa anaye balance
 
Mkome kuiga misemo ya watu
Screenshot_20190428-162123_Twitter.jpg
 
Top four kwa sasa ni miujiza tu, haiwezekani tunakuwa na poor records away, yaani tunapigwa tu ugenini...
 
Top four kwa sasa ni miujiza tu, haiwezekani tunakuwa na poor records away, yaani tunapigwa tu ugenini...
Dah! mkuu away sijui kuna nini, Unai anadhani mechi zote atachezea home tu.
 
Back
Top Bottom