Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Moja ya marefa bora kabisa hapindi wala kutoa favour umeme umeme tu,yellow yellow tu, tuta ataweka hata sekunde ya mwisho, very straight person
Hapa napingana na wewe!
Kuna Mashabiki wa Aina mbili:
1) Wanaofatilia mpira tu bila ya kufatilia jambo jengine lolote. (Hawa ukiwauliza hata ni Refa gani au Commentators gani Walioparticipate kwenye game yao basi hawajui).
2) Kuna mashabiki wanaoangalia Mpira na kila kinachohusiana na Mpira.
Turudi kwenye point!
• Mimi ni Mshabiki wa Liverpool lakini Michael Oliver ni Refer ambaye anatufavour katika Maamuzi mengi ya utata na Ndiyomana mechi akichezesha yeye tunashinda japo kwa Tuta la Utata.
• Michael Oliver ni Refa anayezichukia Sana Timu za London (Arsenal na Chelsea) Na ndiyomana Akichezesha Game ya Chelsea anakuwa na Maamuzi mengi ya Utata yanayoiumiza Chelsea.
Timu pekee ambayo anayoipenda kindakindaki ni Spurs tu.
Na yupo Neutral kwa Man United haipendi wala haiumizi.

