21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,302
- 2,849
Mechi ngapi mfululizo mnaambulia kipigo
Poor, Arsenyeto
Poor, Arsenyeto
Vardyyyyyyyyyyyy 3-0
Mkuu usitegeme mabadiliko yoyote kwa Emery ndio mana Sven anaondoka.Hii team jamani. Nilishajisajili kwa mkopo Man City mpaka pale wale watoto watakapoondoka.
Team zingine bhana [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23]Mechi ngapi mfululizo mnaambulia kipigo
Poor, Arsenyeto
Team zingine bhana [emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna lingine limeongezeka, jamaa wameona wasibakishe kitu, maana kifuko kina zana 3 na zote wametumia.
[emoji12][emoji12][emoji12] hii team nayo ilikuwa kwenye mbio za ubigwaZina undugu na tatu
Manake games 3 mfululizo zimelose kwa goli 3 [emoji4]