Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leicester ana mechi 3 za mwisho
Arsenal-home
Manchester City- Away
Chelsea-home

Kiuhalisia hapa Leicester hawez fungwa game zote ila kibonde hapa wa Leicester city ni Manchester City na Chelsea na wote msimu huu round ya kwanza kawapiga na pia ukiangalia kwa Makini Leicester city hapa atamla kichwa mmoja wapo ila kama Arsenal atashinda kama atashinda hii game ambayo ni ngumu kweli (kiuhalisia game ngumu ilikuwa ni ya wolves) basi top itakuwa ni njia nyeupe asilimia 70
Game yenu na Leicester ni ngumu sana coz nyinyi muna nafasi ya kushinda na wao wana nafasi ya kushinda.

Ila kama mutapoteza kwa Leicester basi nahisi mshindi kati ya Manur na Chelsea ndiye atakayekama nafasi ya 4
 
Nakwambia hv si kwa Chelsea hii kabisa, mi mwenyewe naombea tufungwe hata hizo mechi zote 3 zilizobakia ili tukose top 4 na kombe la EUROPA maana si kwa kuwa na kocha kilaza kama Sari Masigara.

Hv unawezaamini fainali ya carabao tulicheza na Man City dkk 120 bila ya kulenga shuti lolote golini hata 1 tu?

Ss Chelsea ni timu au utumbo
Hahahaha mpira unadunda Mkuu
 
Msimu huu Arsenal Manchester United na Chelsea hawajapata mshindani Mkali toka top 10 ndo maana bado wana nafasi ya Top 4 ila ingekuwa kuna timu kama leicester city 2016 ilikuwa ndo basi
 
Ingawa nina takriban wiki 2 sijaangalia msimamo coz hauna umuhimu kwangu kwani naamini ligi imeshaisha kwamimi! Lakini Je Man United akishinda against Chelsea pia huoni kuwa Nafasi ya Top Four kwa Arsenal bado ipo matatani? Coz Manure bado nafasi anayo!
yote yanawezekana....ingawa mimi siipi nafasi man kuifunga chelsea japo wote wabovu yaani ni pipa na mfuniko.....maana huyu man u katika mechi nne za mwisho kafungwa goli 10 na yeye hakufunga hata goli la kuotea na barca kachukua 4 ,everton 4,city 2...pia ukiangalia hata ule ushindi wao dhidi ya westham ni wa mazabe tu....walibebwa sanaaaaaaa so nafasi ya nne bado haina mwenyewe na kati ya man,chelsea au arsenal anaweza kuikwaa ingawa kiukweli kwa arsenal ni mlima mrefu kidogo
 
Nakwambia hv si kwa Chelsea hii kabisa, mi mwenyewe naombea tufungwe hata hizo mechi zote 3 zilizobakia ili tukose top 4 na kombe la EUROPA maana si kwa kuwa na kocha kilaza kama Sari Masigara.
Hv unawezaamini fainali ya carabao tulicheza na Man City dkk 120 bila ya kulenga shuti lolote golini hata 1 tu?
Ss Chelsea ni timu au utumbo
fan gani anaiombea timu yake ifungwe? Haupo serious wewe, unapata faida gani sasa ikifungwa
 
Acha kutucheka kiaina washabiki wa Chelsea kwa jinsi tulivyo na timu ya mazoezi wala si ya ushindani Chifu
yote yanawezekana....ingawa mimi siipi nafasi man kuifunga chelsea japo wote wabovu yaani ni pipa na mfuniko.....maana huyu man u katika mechi nne za mwisho kafungwa goli 10 na yeye hakufunga hata goli la kuotea na barca kachukua 4 ,everton 4,city 2...pia ukiangalia hata ule ushindi wao dhidi ya westham ni wa mazabe tu....walibebwa sanaaaaaaa so nafasi ya nne bado haina mwenyewe na kati ya man,chelsea au arsenal anaweza kuikwaa ingawa kiukweli kwa arsenal ni mlima mrefu kidogo
 
Wewe sio Chelsea fan bana ...hat kama Sarri anazingua lakini huwezi andika utumbo kama huu..

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Kumbuka niliwaahidi humu kwa ubovu wa Chelsea tukiingia top 4 ni sawa na kubeba ubingwa wa epl.

Na naombea sana Eden Hazard asepe tu aende R. Madrid maana anazidi kupoteza tu kipaji pale Stamford Bridge.

Chelsea ni timu nzuri ikiwa na kocha yeyote mzuri ila si Sari Masigara, Arsenal wana Kocha Mzuri lkn hawana Kikosi bora kama cha Chelsea FC.
 
Kocha hana skills, tactics wala experience hadi nihamasike kujibebesha presha kwa kikosi kizuri kwa mpira mwingi unaopigwa lkn mwishowe ni "work done is equal to zero"
Sarri yuko vizuri tu mbona ..ila ni kwamba hatuna wachezaji wenye kasi ya mfumi wake ..ukimcheki Willian kachoka baadh ya mechi ndo anafanya vizuri, Pedro naye ivyo ivyo, beki ndo ivyo za kuunga unga ...na kusajili ndo tumefungiwa ...mimi chelsea kwa sasa itaitaji misimu kama miwili ivi ndo irud tena kweny resi ..hata sasa ukimtoa Sarri na kumleta kocha mwingine tatizo litabak pale pale ..cheki manure kinachowakuta sasa...

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Bring back mwenye timu yake "Special One/Jose Mourinho" au tajiri amchukue yule kocha wa Ajax maana wanacheza mpira uliokuwa unachezwa enzi hizo Stamford Bridge na akina Michael Ballack.

Hiyo ndiyo ilikuwa Chelsea ss, ilikuwa haiwezi kukutembelea zaidi ya mara 3 golini bila ya kukuchungulia goli 1 au 2.

Pia mfumo wa Sari hauendani kabisa na philosophy ya Chelsea.

Mokocha wote waliopitia pale walikuwa wana mifumo ya counter attacks lkn huyu katuletea soka la vipasi pasi uchwara nyiingi zisizo na tija yoyote kwa timu yetu kupitia lile galasa lake Joghinho.

Back
Top Bottom