Timu mbovu huku haishuki daraja au sio? Kacheze kombolelaMnalitimu libovu mna wachezaji viwete timu nzima Kipa ndio chujio la nazi kabisa.......
.Acheni midomo timu nyie hamna zaidi ya porojo tu
Kua mpole bambucha wewe.Wolves Wolves saivi tutaelewana. Naomba nipe ile fixture yenu tena..
Hahaha Piga mbuzi nyie...
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Mbona hasira kama wewe ni Mmiliki wa Arsenal? Kaa chiniMnakosa top 4 na mnakosa Europa kwisha habari yenu
Aaron unatimu mbovu uwe nnafunga mdomo.utazidi kuaibika mkuu
Bado arsenal ana nafas tena kubwa tu, mechi ya man u na Chelsea ,inabid arsenal aitumie kama daraja
Narudia wana Arsenal wenzangu hata jana kulisema Ile penalty aliyokosa Aubameyang tarehe 12 May tutakuja kuikumbuka
Kwa sasa natabiri nafasi yetu ya Top 4 ipo mikononi kwa Manchester United jumapili endapo Chelsea atashinda sisi ndo basi tena nakwambiaNiujinga tu, timu nzima hakuna fundi wakuaminika wakupiga penalty???
Angalia liver huko match ngumu nani anapewa kupiga penalty.
Ni mtu selective kabisa, sio kukurupuka.
Kwa sasa natabiri nafasi yetu ya Top 4 ipo mikononi kwa Manchester United jumapili endapo Chelsea atashinda sisi ndo basi tena nakwambia
Hapo ni kama bahati nasibu Arsenal akishinda mechi zote 3 za mwisho Chelsea akafungwa na Manchester United hapo tunaenda top 4 kabisa ila hii ni bahati nasibu Mimi naamini mechi za Crystal palace(ambako home huwa hatufungwi) na Tottenham away(tukakosa penalty dk ya 90) tumezichezea sana bahati na ndio naona ni mechi ambazo zimetuingiza kwenye tetemeko kubwaIngawa nina takriban wiki 2 sijaangalia msimamo coz hauna umuhimu kwangu kwani naamini ligi imeshaisha kwamimi! Lakini Je Man United akishinda against Chelsea pia huoni kuwa Nafasi ya Top Four kwa Arsenal bado ipo matatani? Coz Manure bado nafasi anayo!
Kwa sasa natabiri nafasi yetu ya Top 4 ipo mikononi kwa Manchester United jumapili endapo Chelsea atashinda sisi ndo basi tena nakwambia
Duuuh!...? Kweli umemchoka Aroon ChifuAmini nakwambia kesho utamkuta kwenye jukwaa letu anachonga mdomo wake mrefu uliokatwa na Wolves.

Hapo ni kama bahati nasibu Arsenal akishinda mechi zote 3 za mwisho Chelsea akafungwa na Manchester United hapo tunaenda top 4 kabisa ila hii ni bahati nasibu Mimi naamini mechi za Crystal palace(ambako home huwa hatufungwi) na Tottenham away(tukakosa penalty dk ya 90) tumezichezea sana bahati na ndio naona ni mechi ambazo zimetuingiza kwenye tetemeko kubwa
Hahahaha mpira unadunda MkuuMimi ni Chelsea fan lkn kwa Chelsea hii ni heri ungeanza kushangilia tu kuingia top 4 kwa kula kuku kwa mirija