ENGLANDand Arsenal teen sensation Jack Wilshere spent nearly ten hours in a police cell after a girl was left with a broken elbow in a 3am bust-up.
The 21-year-old victim was punched repeatedly and kicked to the ground outside a swanky nightclub and her boyfriend was bashed in the face.
Wilshere, 18 - who made his England debut in the friendly against Hungary earlier this month - was out partying with three pals when trouble erupted.
Wachezaji wa Kiingereza wengi wako hivo hata akina Terry, Ashley Cole et al.Once a scum, always a scum. He fits well into the chavette team, The Fat Arse!!
Wachezaji wa Kiingereza wengi wako hivo hata akina Terry, Ashley Cole et al.
Hata Obi Mikel nae amesha-adapt culture hii .
Lakini habari ziliopo ni kwamba dogo alikuwa peace-maker na wala sio kwamba alihusika kwenye vurugu.
Kipenda roho........hii ndo sababu Mzee Wenger amebobea kusajili wafaransa!
Haya Gallas on his days at Arsenal
Simuelewi kabisa Wenger:confused2::confused2:, yaani suala la kipa kwa vile Almunia amecheza mechi moja vizuri v blackburn ndio tusahau tena? kwa kipa huyu tulienae mimi naona naanza kupoteza matumaini.
Eti transfer window should have been over already for a long time? kwa sababu tu Fabregas bado amesisitiza anataka kwenda Barca, na kuna habari kwenye team coach walipokuwa wanarudi toka Blackburn Fabregas aliuchuna hata wapenzi waliokuwa wanataka asaini autograph aliwachunia. Si bora na aende tu!
Landreu ana miaka 31 na ni mzoefu
Mkuu upo, za weekend?
Naona kasi ya Chelsea si ndogo.
Stoke walitubana sana! Tunawasubiri West hama sasa! Tafuteni kipa kijana mzuri.....Nimefurahia matokeo ya Wigan zidi ya Tot na Sunderland zidi ya Man Citeh pia laliga Real Madrid vs Mallorca
Tottenham walikuwa wanajiona kwamba wao sasa ni timu kubwa na kuwadharau Wigan hasa baada ya kufuzu kucheza "champions league". Lakini timu kama Wigan ni za kuziogopa sana. Hali hio pia imewakumba Man City na pamoja na investiment yao yote wakipoteza mechi tatu zijazo itabidi Mancini afikirie kazi kuhusu nafasi yake.
Real Madrid chini jana nimeiona kwamba inajaribu ku-practise mtindo wa kuwa "too defensive" na mashambulizi ya ghafla lakini mtindo huo unawapa nafasi mabeki wa timu nyingi kukamia wachezai kama Ronaldo.
wakimfukuza mourinho hao real madrid basi laana kama waliyofanya kumfukuza vicente del bosquewakati ule itazidi kuendelea,sir alex ferguson kaingia man utd novemba 1986,kakaa misimu takriban 7 bila ligi daraja la kwanza inaitwa kipindi hicho,alibeba makombe mawili tu 1988 fa cup na 1991 washindi ulaya(imeungana na uefa cup inaitwa europa cup siku hizi),wamempigia sana kelele za kutaka kufukuzwa hadi waandishi wa habari walidiriki kumwambia hautabeba kombe na kusajili nicky butt,scholes,na kuwaacha kina mark hughes kocha wa fulham sasa,wakati huo kina scholes,bekham,phil neville,gary neville na nicky butty wakiwa chipukizi mwaka 1995-96,na wakajibu mapigo wakatwaa premier league na fa cup wakaitwa double winners,ikawa mafanikio kama yameanzia hapo,inabeba misimu 2 mfululizo ikikosa 1,unaofuata inarudisha mpaka 1999 ikachukua 3 vyote uefa champs,premier na fa,mpaka leo hata useme nini wamemuacha fergie haingiliwi na hakuna mchezaji yoyote ambae anakuwa juu na fergie hadi kuitwa sir(cbe)commander of british empire,kwahiyo wakitaka mafanikio wawe wavumilivu,wasiwe kama chelsea na abramovich walivyokorofishana na mourinho kisa kupangiwa listi au kufagilia wachezaji kama shevchenko lazima aanze first eleven(samahani lakini),ujumbe matatizo ndio ukubwa,chakula kizuri kinahitaji muda na uvumilivu,hata roma haikujengwa kwa siku 1Nice analysis mate! Sidhani kama Man Citeh ama Tot kuingia top four......Mzee Hodgson asipoibadili Liverpool kuwa Fulham basi watarudi Top four! Mourhino huenda akafukuzwa RMadrid kwa mchezo ule wa jana.
wakimfukuza mourinho hao real madrid basi laana kama waliyofanya kumfukuza vicente del bosquewakati ule itazidi kuendelea,sir alex ferguson kaingia man utd novemba 1986,kakaa misimu takriban 7 bila ligi daraja la kwanza inaitwa kipindi hicho,alibeba makombe mawili tu 1988 fa cup na 1991 washindi ulaya(imeungana na uefa cup inaitwa europa cup siku hizi),wamempigia sana kelele za kutaka kufukuzwa hadi waandishi wa habari walidiriki kumwambia hautabeba kombe na kusajili nicky butt,scholes,na kuwaacha kina mark hughes kocha wa fulham sasa,wakati huo kina scholes,bekham,phil neville,gary neville na nicky butty wakiwa chipukizi mwaka 1995-96,na wakajibu mapigo wakatwaa premier league na fa cup wakaitwa double winners,ikawa mafanikio kama yameanzia hapo,inabeba misimu 2 mfululizo ikikosa 1,unaofuata inarudisha mpaka 1999 ikachukua 3 vyote uefa champs,premier na fa,mpaka leo hata useme nini wamemuacha fergie haingiliwi na hakuna mchezaji yoyote ambae anakuwa juu na fergie hadi kuitwa sir(cbe)commander of british empire,kwahiyo wakitaka mafanikio wawe wavumilivu,wasiwe kama chelsea na abramovich walivyokorofishana na mourinho kisa kupangiwa listi au kufagilia wachezaji kama shevchenko lazima aanze first eleven(samahani lakini),ujumbe matatizo ndio ukubwa,chakula kizuri kinahitaji muda na uvumilivu,hata roma haikujengwa kwa siku 1
Mazee, U have missed out what was in discussion with Sir Richard!
Wenger mpumbavu yule mzee ,sijui kwanini amempotezea mda wake Fabregas.Kama alijua hayuko serious na timu angemuuza tu Fabregas kulikoni kumpotezea mda wake kwenye timu ambayo haina shida ya kombe bali ni biashara tu.Fabiansk
Manone
Almunia
Haya ni mabomu hebu tafuteni kipa nyie wadwanzi!
acha ushabiki wa ajabu wewe the kid is still growing ndio anajifunza.Once a scum, always a scum. He fits well into the chavette team, The Fat Arse!!
Mkuu jiandae tu with another "hopeless season".Nilikaa leo nafatilia transfer mpaka dakika ya mwisho na kichwa kiliniuma.Arsenal imemuulizia kipa wa Lille Mickael Landreau ambae wameambiwa anagharimu kama 6.5 milioni hivi.
Landreu ana miaka 31 na ni mzoefu.
Mwaka jana Wenger alijaribu kumsajili lakini akampa tena nafasi Almunia ambae nae bado si makini golini. Almunia ana tatizo la "communication" na mabeki wake na iwapo kuna mashambulizi yanayotokana na "long balls" au "long thro-ins" basi kuwa kuna mtafaruku golini.
Kwa kweli baada ya mechi tatu ambazo Arsenal imecheza, kunahitajika kipa mzoefu na huenda Mark Schwarzer akasajiliwa kwenye dakika za mwisho kama ilivyofanywa kwa Arshavin.
Pia Arsenal wamekuwa wakigombaniana kipa wa zamani wa Portsmouth Azmir Begovic ambae kwa sasa yupo kwenye timu ya Stoke City lakini bado hajacheza.
Begovic ana miaka 23 na anaweza kuwa big investiment kwa Arsenal lakini bad news ni kwamba Chelsea wanamwambia ikiwa watamsajili atakuwa kipa namba mbili baada ya Petr Cech.