Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hujamalizana na manyumbu unaropoka, unadhan atakuacha salama OT, hahaaaaa hiyo siku utajipiga ban ya mwezi maana utapelekwa nafas ya 6
OT ndo sehem rahis zaid kuchukua point mkuu..wale wanakufa tatu moja..
 
Wameisadia leo maan tunaichukua iyo nafasi ..mim naku wait final Europa nikukunywe nyingi sana ..
Umesahau juzi ulikaa kwa masaa nikaja mwenye nafas yangu nikakutoa,subiri sasa hadi mechi ya mwisho utajikuta upo nafas yako ya 5
 
OT ndo sehem rahis zaid kuchukua point mkuu..wale wanakufa tatu moja..
Hata kwa liver ulisema hivo hivo, matokeo yake ukajipiga ban ya wiki, kwako ulisawazisha dk za jioni, OT wanakugonga ,wanakusekwa nafas ya 6, subiri utaniambia
 
Kwa iyo unai anauza point tatu ili abebe Europa hahaha ..ni sawa na wewe kutumia ela ya ada kubetia..

Uyo mrangi Unai ligi imemshindaaaaa
Huwezi kuamini eti Cheltako alikua miongoni mwa wagombea kombe la ligi.

Leo hii amekazana kuishupalia top 4 hahaha.

Jiandaeni kwa disappointments.
 
Unatamani wawe world class players eeh? Hizo ni chapati tu na mkipigwa kaunta hua nacheka Luiz anavohangaika
Sio natamani ni WCP tayari ..Hazard kabeba Europa, Uefa, EPL, FA, Belgium imefanya vizur WC kwa sababu yake ..Geroud kabeba World Cup, FA, na msim huu anabeba EUROPA, Kante ndo kabisa haitaji maelezo...Higuan kila mtu anajua alichofanya ...apo AssAnal nan kabeba makombe ya maana kaa hayo?
 
Sisi si tunawatamanisha mtumie nguvu kupafom katika ligi ili kule Europa muende mmelegea!!

Hii ni mikakati bwana mdogo hauwezi kuelewa kama mpira umeanza kushabikia Mourinho alivokuja Chelsea.
Sisi kotekote tunakichafua mzee baba..endeleeni kutamanishaa..
 
Sio natamani ni WCP tayari ..Hazard kabeba Europa, Uefa, EPL, FA, Belgium imefanya vizur WC kwa sababu yake ..Geroud kabeba World Cup, FA, na msim huu anabeba EUROPA, Kante ndo kabisa haitaji maelezo...Higuan kila mtu anajua alichofanya ...apo AssAnal nan kabeba makombe ya maana kaa hayo?
Mbona Chelsea ipo namba 5 na ndio utamaliza hiyo nafasi au hujui
 
WCP wana maana gani sasa kama uko nafasi ya 5?
 
Hata kwa liver ulisema hivo hivo, matokeo yake ukajipiga ban ya wiki, kwako ulisawazisha dk za jioni, OT wanakugonga ,wanakusekwa nafas ya 6, subiri utaniambia
Liverpool wako vizuri iyo kila mtu anajua ..ndo maana walikunyoosha tano ...hahaha Firmino alinilishia watu majani, mimi nmepigwa kwa makosa madogo madogo tu ...sasa hao manure nawala za kutosha...
 
Mbona Chelsea ipo namba 5 na ndio utamaliza hiyo nafasi au hujui
Leo napanda hadi ya tatu nadhani unajua ilo ..mimi sina cha kupoteza kwa sasa ..ni fulu mkoko ndani kipigo cha mbwa koko kwa yeyote atakaye katiza mbele yetu..
 
Liverpool wako vizuri iyo kila mtu anajua ..ndo maana walikunyoosha tano ...hahaha Firmino alinilishia watu majani, mimi nmepigwa kwa makosa madogo madogo tu ...sasa hao manure nawala za kutosha...
Wewe ukifungwa ni kwa makosa madogo, wenzio Wabovu, na zile 4-0 za bornamouth
 
Leo napanda hadi ya tatu nadhani unajua ilo ..mimi sina cha kupoteza kwa sasa ..ni fulu mkoko ndani kipigo cha mbwa koko kwa yeyote atakaye katiza mbele yetu..
Unajidanganya maana mpira hujui

Michezi iliyobaki

3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Arsenal anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70

Mechi yako na manyumbu, atakung'ang'ania kitakachotokea ,wote mtaenda Europa,

Halafu arsenal na tot wanaenda UCL,
 
Huwezi kuamini eti Cheltako alikua miongoni mwa wagombea kombe la ligi.

Leo hii amekazana kuishupalia top 4 hahaha.

Jiandaeni kwa disappointments.
Iyo inatokeaga mkuu ..upepo wa ligi umetuendea vibaya ..ila Europa sijapoteza gemu hata moja, mpaka fainali sipotezi..
 
Leo napanda hadi ya tatu nadhani unajua ilo ..mimi sina cha kupoteza kwa sasa ..ni fulu mkoko ndani kipigo cha mbwa koko kwa yeyote atakaye katiza mbele yetu..
Kwan hiyo nafas ya 3 wiki iliyopita siulikaa hapo, au umesahau tena, ni swala la muda tu, nitakuja kukumbusha
 
Iyo inatokeaga mkuu ..upepo wa ligi umetuendea vibaya ..ila Europa sijapoteza gemu hata moja, mpaka fainali sipotezi..
Utapigwa hadi uchakae, kumbuka unacheza na timu za andora, ungepewa Rene's au Napoli ungetoboa wewe
 
Back
Top Bottom