Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unai Emery:

"The doctor said to me in the first half he had a little bit of pain like Thursday and I decided 'ok, it's the moment'."View attachment 1072678

Yohana 3:16

Pia washabiki wa Watford walikuwa wakimzomea kila mara Torreira alipokuwa akipewa mpira hivyo hiyo pamoja na ile kadi nyekundu kwa Deeney vilimfanya Emery achukue uamuzi wa busara wakati wa mapumziko.

Game la jana lilikuwa ni kutotumia nguvu nyingi kwani kuna Napoli Alhamisi na jumapili tunacheza na Crystal Palace.

Arsenakl inahitaji angalau point 6 tu kufikia 72 ili kuwa na uhakika wa top 4, ila inawezekana kutafuta maximum points yaani hata 78 au 81 ambazo ndo mwisho kwa Arsenal ikishinda mechi 5 zilizobaki.

Ila Priority kwa sasa ni mechi na Napoli ili kufikia nusu Fainali ingine.
 
Pia washabiki wa Watford walikuwa wakimzomea kila mara Torreira alipokuwa akipewa mpira hivyo hiyo pamoja na ile kadi nyekundu kwa Deeney vilimfanya Emery achukue uamuzi wa busara wakati wa mapumziko.

Game la jana lilikuwa ni kutotumia nguvu nyingi kwani kuna Napoli Alhamisi na jumapili tunakwenda uwanja wa Selhurst Park kupambana na Crystal Palace.

Arsenakl inahitaji angalau point 6 tu kufikia 72 ili kuwa na uhakika wa top 4, ila inawezekana kutafuta maximum points yaani hata 78 au 81 ambazo ndo mwisho kwa Arsenal ikishinda mechi 5 zilizobaki.

Ila Priority kwa sasa ni mechi na Napoli ili kufikia nusu Fainali ingine.
Kweli mkuu, game ya Jana ikihitaji kucheza kwa uangalifu,

Crystal palace anakuja emerates

Yohana 3:16
 
Hii ni orodha fupi ya save percentage msimu huu premier league:

1)Alisson Becker - 76.19%
2)Hugo Lloris - 73.64%
3)Bernd Leno- 72.81%
4)David De Gea- 71.84%
5)Ederson Moraes - 69.57%
6)Kepa Arizaaga- 66.67%
IMG-20190416-WA0027.jpeg

Yohana 3:16
 
Mikhitaryan iwobi ndio watu ambao wanatakiwa wawe funguo mashambuliz kule pemben lkn wote wamecheza vibaya kiasi timu inashindwa kuondoka kwa haraka!

Lkn sehemu nyingine ni kwenye midfielder aron ramsey na xhaka hawa wamefeli kuitanua timu inapokuwa na mpira! Ramsey kma namba 10 nadhan tunamjua si mbunifu na timu namna inavypshindwa ku link kuanzia pemben ndio kbsa inafanya asiwe na kazi maalum! Maana huyu ni mchezaj ambae anajua kwenda na movement ila kma hizo move zinakosekana basi hubakia anazunguka tu!

Ila upande mwingine ni kwamba Watford wamecheza vzr wakitumia nguvu kituzuia!

Yohana 3:16
Ndio timu yako hiyo...wenzako walikuwa pungufu na bado wamekunyoosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes kampuni za kubeti zinapotosha watu sioni sababu ya Arsenal kusimamishwa na NAPOLI leo wanacheza mpira mbovu sanaaaa na kwa ile mildfield ya The guner ilivyo na kasi ya kukaba sioni sioni NAPOL akichomoka akijitahid sana Sare

Labda maajabu yanaweza tokea let us wait and see maana siwez kushangaa mpk sasa nishaona maajabu mengi
 
Karibu uwanja wa Napoli uitwao Stadio San Paolo uliopo mjini Naples nchini Italia.
 
Back
Top Bottom