Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Haijalishi cha muhimu 3 points kwenye mechi hiz za lala salama, juz kuna watu wamepewa penalty nje ya boxView attachment 1072560
Yohana 3:16
Yohana 3:16
Europa kwa sasa tuna usongo nayo mno itusafishie nyota.Upo sahihi ,ndio maana ramsey ,lt11, wametolewa mapema kwa ajiri ya Napoli
Emery juzi alisema atafanya rotation, maana amalihitaji europa
Yohana 3:16
Bora united mkuu sio spurs ,tott hawezagi kabisa kwa man city, tena game ikiwa etihad. Hapo Man u anaweza fanya kitu ila sio spurs,Tottenham ndo kidogo namtegemea, Man Utd kashajikatia tamaa.
Yohana 3:16