Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Auba unakosaje goli hilo ....dah
Anazingua, chances anatengenezewa nyingi hazitumiiauba shenziiiiii![]()
Anazingua, chances anatengenezewa nyingi hazitumii
Nalala vizuri kabisa leoFT: Napoli 0 - 1 Arsenal, aggregate 0 - 3 wale waliodhani hisia zao ndio uhalisia matokeo ndio hayo.
Napoli mweupe tu, sasa Valencia ajiandae na mwenzake Chelsea tiamajitiamajiFT: Napoli 0 - 1 Arsenal, aggregate 0 - 3 wale waliodhani hisia zao ndio uhalisia matokeo ndio hayo.
Unasemaje?![]()
![]()
![]()
Everton anawapa shida hivi Napoli mtamuweza??
YNWA
Mkuu upo online unifanyie hata discount tuMkuu ukienda kushinda kwao mbele ya Ancelotti njoo nikufanyie muamala wa 50k.
Nina uhakika kule hamshindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli napol 0 arsenal 1
Valencia na Napoli nan alikuwa boraKazi ipo kwa Valencia tu..tukifanikwa kuwatoa fainali itakua nyepesi sana kwetu, sababu Chelsea hii ya Luiz beki haitatusumbua kabisa.Labda kidogo wajerumani.
Yaa hivi vitimu vya spain ndo vinaweza kutusumbua timu za kitaliano ukiwa na mbinu yakinifu unawapiga kotekote hua wana mipira ya kupaniki sana.Kazi ipo kwa Valencia tu..tukifanikwa kuwatoa fainali itakua nyepesi sana kwetu, sababu Chelsea hii ya Luiz beki haitatusumbua kabisa.Labda kidogo wajerumani.
Unai Emery's first 50 games as head coach of Arsenal...
#ElMaestro https://t.co/Uiu2mEFJm6
Most wins in their first 50 games with Arsenal...
#ElMaestro https://t.co/XbeDvaF7fzValencia ngumu bob hata hao Cheltako kutukazia hawashindwi.Kazi ipo kwa Valencia tu..tukifanikwa kuwatoa fainali itakua nyepesi sana kwetu, sababu Chelsea hii ya Luiz beki haitatusumbua kabisa.Labda kidogo wajerumani.