Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ana maneno machafu Leo mapema alishaanza kututus Instagram
Halafu ni mashabik mkubwa wa arsenal, katupania Leo matokeo yake kala red card mapema
Yohana 3:16
Ana maneno machafu Leo mapema alishaanza kututus Instagram
Ninawatakia ushindi aisee.
Najua ushindi wenu utawapa pressure Man Utd na Tottenham, hivyo watakaza kwa City.
Ahahha!!! Kwa mbinu zote, ubingwa mnautaka!!
Daah Ile Mechi Gooner walicheza level ya Ndanda FC kabisa. Mipira mbele ilikuwa haiendi kabisa....Mpaka Castle lite ilikuwa chungu usipime. Dalili ya kupata Goal huioni....Game ya Everton shida ilikuwa midfield mkuu,
Now unamuona LT11 ,Ramsey, xhaka wamerejea
Yohana 3:16
Kat alikuwepo neny na Matteo unategemea nn mbele ya Gana na GomesDaah Ile Mechi Gooner walicheza level ya Ndanda FC kabisa. Mipira mbele ilikuwa haiendi kabisa....Mpaka Castle lite ilikuwa chungu usipime. Dalili ya kupata Goal huioni....
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hatuko kwenye kiwango kizuri sitoshangaa wakichomoa tukiendelea kuzubaa zubaa nahuyu dogo mavro dah naona kama atachoma mda wowote yani
Mikhitaryan iwobi ndio watu ambao wanatakiwa wawe funguo mashambuliz kule pemben lkn wote wamecheza vibaya kiasi timu inashindwa kuondoka kwa haraka!
Mavro amecheza vzr, upande wa mustafi ndio tatizoBado hatuko kwenye kiwango kizuri sitoshangaa wakichomoa tukiendelea kuzubaa zubaa nahuyu dogo mavro dah naona kama atachoma mda wowote yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Old Trafford mnajibiwa mapema zaidiTunaomba either ninyi au Tottenham mtoe hata droo tu.
Inatutosha sana.
Unai badala aingize washambuliaji kama Lacazzete anaingiza matteo hii game tuombe Mungu tu tunaweza kuaibika tukashangaa tulitakiwa tuwe tuna goli 2 au zaidi ila mpaka sasa tuna 1Mavro amecheza vzr, upande wa mustafi ndio tatizo
Leo mustafi anacheza namba 2,
2nd half waingie watu wakazi turud kwenye 3-4-3
Ozil arud shimon nyuma ya washambuliaji wawili
Yohana 3:16
Download Mobdro Application kutoka google, siyo playstore.
Then utaenda Sky Sports Main Event.
Icon yake inafanana hivi:-
View attachment 1072502
Ya Old Trafford mnajibiwa mapema zaidi