Game itaonyeshwa Channel gani wandugu?msaada tafadhali
Game iko startimes, Dstv hawaonyeshi huku kwetu bali South Africa tuGame itaonyeshwa Channel gani wandugu?msaada tafadhali
Dstv hawaoneshagi EuropaUpo pande ipi ndugu?
Vinginevyo Supersport wanaonyesha kupitia DSTV au M-Net
Thanks umenirahisishia mana huku mvua inanyesha
Nipo BT 2HD napata burudani
Unaingilia kupitia mobdro app ata Me napata burudani live kabisa bila chengaLink yaje mkuu mana naona weng wanawasifia sana hao jamaa
Shukran sana kwa Papastathopoulos Koscielny na nacho Monreal hawa jmaaa uku nyuma wanaelewana na wako makini pia wana tumia zaidi akili!Backline inacheza sana na mitego ya kuotea kwakua wanajua napoli watakua naharaka ya kufika mbele
Japo sinzuri sana nivyema kufanya complete defending halafu maitland niles anahitaji kusaidiwa kule anakua isolated sana hasa tunaposhambuliwa
Tunatakiwa kukaza mpaka mwisho mipira inakua namambo ya ajabu sana siku hizi ukipoteza umakini