Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lineup today
IMG-20190415-WA0022.jpeg

Yohana 3:16
 
Leo tena amepangwa mkhitaryan. Kwa ukweli siku hizi nimekua simpendi. Ni bora tu namba yake apangwe lacazette
 
Laca ataingia kipind cha pili, lazima tufanye rotation maana Europa emery anaitaka kwa nguvu zote

Game ya everton ilikua hivi hivi. Unapanga mchezaji ataingia kipindi cha pili halafu mara kocienly ambae hukutegemea atoke anaumia. Kwa iyo ile substition inapungua maana inabidi ufanye usiyoyatarajia
 
Game ya Everton shida ilikuwa midfield mkuu,

Now unamuona LT11 ,Ramsey, xhaka wamerejea

Yohana 3:16
 
Back
Top Bottom