Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ramsey on if Arsenal should’ve scored more: “Yeah, of course, I should have scored in the second half again. These things happen sometimes but we’re just delighted we kept the clean sheet, we got a couple of goals & we can go into the second leg with that little cushion.”
IMG-20190412-WA0032.jpeg


Yohana 3:16
 
Mkuu watu wanaongelea world class players...Pogba, Neymar, Messi, Ronaldo, Raktic wewe bado uko na huyo!!! Pole sana. Mwaka wa 17 tena huu mnatoka tupuuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
hichi kitimu kinasajili vichezaji vya paundi million 10 halafu vinategemea kubeba ubingwa hahahaha kitabaki kuwa "mshiriki maarufu wa EPL"



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mpiga zumari umerud tena humu,

Hivi cheltako hujui kuwa msimu huu Europa hupati kitu, EPL utagombania nafas ya 5 na ya 6?hujui hilo?

Yohana 3:16
wewe usisopambania nafasi ya nne msimu ujao Europa itakuhusu tena, huna timu ya kushindana na Chelsea kwa sasa. Gemu zote zilizbaki haijalishi ni Europa au ligi au nini..zote tunatifua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe usisopambania nafasi ya nne msimu ujao Europa itakuhusu tena, huna timu ya kushindana na Chelsea kwa sasa. Gemu zote zilizbaki haijalishi ni Europa au ligi au nini..zote tunatifua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe inaonesha hata mech za cheltako hufatilii, litimu lako libovu ni dhaifu sana, katimu kale Slavia prague kanakushambulia mwanzo mwisho, sasa una timu kweli ya kupambana na arsenal yenye Toreira na Xhaka, ?

Hebu kaaga kimya nimegundua hata mechi zako hufatilii,

Kwakuwa mmerud na kelele tena , nitakuja kuwakumbusha pale mtakapoenda Europa tena ,

Yohana 3:16
 
Kuna watu wamejificha kwenye kivuli cha Simba wanadhani hatujui hili..View attachment 1070731

Sent using Jamii Forums mobile app
Westham watakapopata goli pia uje utujulishe,

Kuna siku mlipanda had nafas ya 3 kwa dk 12, ukapotea jumla,

Tunawaacha mpande huko juu kwa muda, tukija kushinda zetu viporo baada ya Chelsea kubondwa kesho na manyumbu kuvutana shat na Chelsea ,tunapaa had nafas ya 3



Yohana 3:16
 
Hiv ulifanikiwa kuangalia mech ya napol na arsenal kweli kabla hujasema hayo? Hivi akiwepo LT11 na Ramsey unaamini kweli wataitoa arsenal?au ushabiki tu

Yohana 3:16
Tatizo lako unadhani umeifunga Napoli kwa ubovu wao. Mkuu wale siyo wabovu pengine walizidiwa techniques tu. Ndio maana nakwambia subiri uende kwake utapata majibu kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuwa mganga wa kienyeji sasa, kwa arsenal hii nakutaka final ,unarukaruka tu nitakupiga 4-0 ,nimeiona juz mech yako ya Europa una timu mbovu sana

Yohana 3:16
Mkuu unachosema ni kweli pengine karibia nusu ya kikosi ni cha pili ndio uka define nina timu mbovu sana. Njoo Anfield leo nikuoneshe mpira mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako unadhani umeifunga Napoli kwa ubovu wao. Mkuu wale siyo wabovu pengine walizidiwa techniques tu. Ndio maana nakwambia subiri uende kwake utapata majibu kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watazidiwa tu maana Wembe ule ule uliowanyoa emirate ndio huo huo ,halafu unadhan wataweza kuzuia arsenal yenye lava auba, Ramsey ,ozil, lt11 wasitie goli hata 1?

Yohana 3:16
 
Back
Top Bottom