Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,917
- 27,122
Hahaa.. Unajibu kinyonge kinoma. Hebu kawasemee kwa mama haoTutaona mwisho utashika nafas ya ngapi
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba

Shabiki wetu wa Arsenal aliwachukulia poa sana Everton wakiwa nyumbani kwao Goodison park
Unahangaikaga wewe jamaa,
Wewe ukienda UCL mwaka huu ,nakunya had ikulu,
Wewe ndio muhangaikaji. Kutwa kushinda kwa watu. Unajitapa una timu kumbe mavimavi tu.Unahangaikaga wewe jamaa,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Msimu ujao tunakupeleka championshipWewe ndio muhangaikaji. Kutwa kushinda kwa watu. Unajitapa una timu kumbe mavimavi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alichokifanya Everton hujaridhika nacho sasa ivi unaanza kuleta mambo mliyozoea kufanya wana Ass anal.?Wewe ukienda UCL mwaka huu ,nakunya had ikulu,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kwan Everton wewe si alikubaka cheltako 2-0?Alichokifanya Everton hujaridhika nacho sasa ivi unaanza kuleta mambo mliyozoea kufanya wana Ass anal.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehee.. Akili fupi ngoja nikwambie wewe. Tumefungiwa vipindi viwili vya usajili na siyo miaka miwili ndorobo wewe.Msimu ujao tunakupeleka championship
Kipa kepa pazia
Hazard to Madrid
Eden Hazard would become Real Madrid's most expensive signing - but would still be cheaper than Philippe Coutinho
Fifa ban ya miaka miwili
HUONI LITIMU LAKO NDIO MAVIMAVI ?
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mbona unaongea huku unalia, nyamaza kwanzaHehee.. Akili fupi ngoja nikwambie wewe. Tumefungiwa vipindi viwili vya usajili na siyo miaka miwili ndorobo wewe.
Kuhusu Hazard kwenda Madrid siyo jambo geni mdogo wangu. Walikuwepo wakali wakastaafu na wengine kuondoka na bado tukaendelea kuwapumulia.
Wachezaji wangu waliopo kwa mkopo wanaizidi Ass anal yote. So tulia dawa ikuingie. Najua hukupenda kusikia ivyo ila ndio ukweli huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sisi tunaoujua mpira huwa hatuna kauli mbovu mbovu kama zako. Nina maneno machache kuhusu game ya leo.Kwan Everton wewe si alikubaka cheltako 2-0?
Mm nakwambia msimu huu nafas ya 5-6 ni haki yako ,unabisha
Kwanza Leo kwa westham upambane ,maana liver anaenda kukubaka, then mnaenda kuuana na mwenzako manyumbu,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hebu nyamaza kwanza, ukimaliza kulia njoo hapa tujadili,Kwa sisi tunaoujua mpira huwa hatuna kauli mbovu mbovu kama zako. Nina maneno machache kuhusu game ya leo.
Game ya leo ni ngumu na ni muhimu sana kwetu kwa hiyo timu itapambana kuhakikisha inapata point kuweza kujiweka sawa katika kuwania top four.
If you know, you know!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana najua inauma ila ndio ukubwa huo.Mbona unaongea huku unalia, nyamaza kwanza
Msimu huu lazima cheltako tuwapeleke Futuhi,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hebu nyamaza kwanza, ukimaliza kulia njoo hapa tujadili,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Ah ah ah.. mkuu tupo group moja nini whatsapp?We jamaa msg yangu unesha ikopi kudadeki... Kutoka WhatsApp
Ah ah ah.. mkuu tupo group moja nini whatsapp?
Sent using Brain