Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe domokaya.
Bila shaka umeona timu yako ilivyooza, wewe kazi kupiga mdomo tu na top four msimu huu mtaisikia kwenye bomba
Upo nafas ya ngapi kwanza timu yako, maana usije kuwa upo namba 6,unabwabwaja tu hapa

Kama ni cheltako , una point 9 lazima uziteme

Sasa endelea kuropoka

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Hapana bana domokaya mm sipo nafasi ya sita, hiyo nafasi ipo kwa ajili yenu na Manyua.
Everton 1: 0 Arsenyeto
 
Yule mtoto Niles hua anacheza mpira kama yuko usingizini, pale beki ni Sokratis tu hao akina Mustafi hamna kitu poor performance karibu wachezaji wote only Beno na sokratis na alivyoingia Ramsey ndo wameperfom kwenye kiwango stahiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwenendo huu hawa Arsenyeto wanaweza wakashuka daraja. Haaaaaa
Everton 1: 0 Arsenyeto
 
Ozil siku hiz anajitahid, kwa Leo usimlaumu, kukosekana kwa solid midfield imetugharimu,

Xhaka ,LT11, hawapo, ikabid waanze Matteo na neny ,ambao hawakabi Bali wanakaa na mipira , na neny sio mnyumbulifu kupeleka mipira mbele ili kina ozil waconvert,

Nadhan katika game zilizokuwa zimebak ,hii na ya wolves ndio zilikuwa game ngumu,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hakuna kitu kama hicho,

Ozil ni mtu wa kufeed siku zote, hajui kutafuta mpira.

Midfielder gani wa hivo.....?
Juu mkate chini tambi

Muulizeni hata kropp basi alimtoa wap KEITA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Everton 2 Chelsea 0

Next una Liverpool na manyua, westham

Kuwa mpole

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kaka yako Chelsea nilipokalishwa apo Goodison Park na babako mkubwa Liverpool aliposuluhu ..ulichonga sanaaa acha ujingaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INJINIAAAAAA SOMA HIYOOOOOOOOOO
Everton juhli 1-0-voittoa Goodison Parkilla.
 
Back
Top Bottom