Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,761
- 15,577
Ingetakiwa iwe red hapa
Ahaha yan mkuu ligi ya mwaka huu kweny vita ya top 4 ni hatar sana.....kama hapa tayr mahesab yanabadilika tenaYaani mbio za top 4 si mchezo, mwaka huu ligi iko tight kwenye ubingwa, top 4 na kushuka.
Full raha.
HahahahahahahahahAhaha yan mkuu ligi ya mwaka huu kweny vita ya top 4 ni hatar sana.....kama hapa tayr mahesab yanabadilika tena