Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ok ngoma imeisha 1-1 life moves on pointi 1 ugenini against top 6 sio mbaya kumbuka hatukucheza na West Brom bali Liverpool, we're going back to London happy:becky:
 
ok ngoma imeisha 1-1 life moves on pointi 1 ugenini against top 6 sio mbaya kumbuka hatukucheza na West Brom bali Liverpool, we're going back to London happy:becky:

Yeah mkiwa 12 zidi ya 9 Liverpool! fikiria walau wangekuwa 11
 
Yeah mkiwa 12 zidi ya 9 Liverpool! fikiria walau wangekuwa 11
Joe Cole hakuonewa it was a right red card for reckless challenge lakini kama utaangalia kipindi cha 2, refarii alikuwa anawabeba zaidi Liverpool, mfano Rosicky alionyeshwa yellow card wakati Gerrard ndio alifanya faulu na alistahili yellow ya 2 na kutolewa nje, Refarii alikuwa upande wa timu ya nyumbani mkuu.
 
Kuna nyepesi nyepesi kwamba Schwarzer kesho atakuwa Emirates kujadiliana terms na atakuwa golini au walau kwenye benchi mechi ijayo dhidi ya Blackpool, finger crossed!
 
Wenge Musica,

Huyu Diaby ni mchoyo, yeye ni kadenge na mpira na kawapotezea nafasi nyingi mno. Lakini ukiondoa lile la Jabulani na Reina, Lipuli waliwakalia kooni! Vipi tea AlMuntazir kukwepa nduki la Nyanya Ngogwe?
 
Wenge Musica,

Huyu Diaby ni mchoyo, yeye ni kadenge na mpira na kawapotezea nafasi nyingi mno. Vipi tea AlMuntazir kukwepa nduki la Nyanya Ngogwe?
Mkuu haya matatizo yote toka msimu uliopita lakini bado mzee wenger anaendelea ku-entertain tu.

hakuwa na sababu ya kumpiga bench rosicky kabisa leo na kumuanzisha Wilshere sema ndio hivyo kuna msemo pale emirates unaenda hivi "Wenger Knows" ndio umetulevya.
 
Katika mechi ya leo nimeshuhudia mzee Wenger akichemsha sana kwa kumuanzisha dogo Wilshere acheze namba "right wing" tena nyuma ya Nasri na pia kumuachia jukumu Diaby kulinda "back four".

Tatizo kwa sisi wapenzi wa Arsenal linakuwa kuona kwamba mzee Wenger anapenda kufanya majaribio hata kwa timu kama ya Liverpool. Liverpool ya sasa imebadilika chini ya mzee Roy Hodgson kwani aliwaambia wakirudi kipindi cha pili wacheze "defence" kutokana na kutolewa kwa Joe Cole.

Almunia ni lazima aondoke kwani sio kipa mzuri tena na nikimlinganisha na Joe Hart alivyofanya jana dhidi ya Tottenham ninaona bado Wenger anahitaji kipa na beki wa kati mmoja.

Kuna harakati zinafanyika baada ya Mark Schwarzer juzi kutoa transfer request kwa timu yake ya Fulham au Shay Given wa Man City ambae nae alichukizwa na kitendo cha kuwekwa benchi juzi dhidi ya Spurs na inasemekana makipa wote hawa wawili wanataka kucheza Champions League.

Pia kuna dalili za Wenger kufanya two signings kabla ya kipindi cha usajili kwisha kwani leo ametambua hilo hasa baada ya Koscielny kuumizwa na Joe Cole na bahati hakuuumia sana.
 
Yeah mkiwa 12 zidi ya 9 Liverpool! fikiria walau wangekuwa 11
man utd kishawafunga lverpool na arsenal akiwa na wachezaji pungufu uwanjani,yani man utd wachezaji 10,liva na arsenal wachezaji 11,ulaya kwa timu kubwa sio sababu au kisingizio hata kama ulikuwa pungufu ukafungwa.
 
Nyie wazee wa kulialia (kuonewa na marefa), make sure mmempa Reina 10% ya bonus ya kutofungwa itakayo paswa kulipwa kwa golinyanda wenu Aluminum, naona ameanza msimu vizuri kwa kuwabeba msishuke daraja.
Gud Lucky watani!
 
visanga kibao hawa manusless

neville-and-scholes-kiss.jpg
 
Wenger kuhusu swala la kipa hayuko serious kabisa.huyu almunia ni bomu sana.

Mkuu tafuteni Kipa ligi iwe na Mvuto! Sipendi tuchgukue Points 6 kwenu tena...Mark na Shay wako huru. Golikipa is the weak link hapo Emirates
 
Arsenal's Samir Nasri faces one month out after surgery


BBC Sport

Bundi keshaanza mapema kabisa!
 
Mkuu tafuteni Kipa ligi iwe na Mvuto! Sipendi tuchgukue Points 6 kwenu tena...Mark na Shay wako huru. Golikipa is the weak link hapo Emirates
Chukueni Shay Given huyo Schwazer walewale

Man City hawawezi kuwauzia/kuwakopesha Arsenal golikipa (Shay Given) maana itawaongezea nguvu wakati ni wapinzani katika kutafuta nafasi ya tatu/nne. Ninavyoona Given ataishia Fulham kuchukua nafasi ya Schwazer, tatizo City wanataka kuweka clause kwenye loan contract itakayowawezesha kumwita wakati wowote wakiwa na majeruhi ya kipa.
 
Why are these Chelsea and Man Utd making noises? I know why they have won against teams which are championship materials! Aresenal start has not been that scary, it's just Liverpool got the gioal and I give them credit they were really determined and gave it all for their coach Roy.

About injuries, hakuna cha bundi wala nini coz hata other teams have injuries; so Arsenal need to learn to live with the fact that there will always be injuries and not make a fuss about it (at least that's what the media does).
 
Back
Top Bottom