Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Dawa ya liverpool ni Walcott tu leo.
Acha utani wewe huyo hana akili ya mpira na yuko very predictable kama malaria Sugu
Dawa ya liverpool ni Walcott tu leo.
Gibbs ni mzuri miles from huyu Mfaransa GC!
Acha utani wewe huyo hana akili ya mpira na yuko very predictable kama malaria Sugu
Kwani liverpool wana akili ya mpira?
haya tuna dakika 45 dhidi ya watu 9 tupewe nini tena?
Ni kweli hatuna cover hapo nyuma na ndio maana tumelia na wenger kila siku aongeze CD na GK wa uhakika, yule Kompany wa city na Schwazer wangelitusaidia sana.tatizo kwamba kama koscienly hatorudi nani ataletwa nyuma pale? labda Song kama yuko fit au eboue ndio ashuke na walcot aingie.
Kumekucha.tunaoteza mpira kijinga kisa mipasi yetu.