msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,696
- 8,821
Akimalizana na arsenal anakuja kwako next weekend
Akimalizana na arsenal anakuja kwako next weekend
Hahaah unaogopa city atakukaribia ..City hashindi hiyo kesho
Mkuu unajitekenya afuu unacheka mwenyeweNaona lile genge la Liverpool linaiombea njaa Man City. Hahaha tatizo ni kwamba mmechelewa Man city hana cha kupoteza leo.
Ila lolote laweza kutokea. Sisi tuko kwa ajili ya Arsenal, kama akipigwa leo wikiend ijayo tutampigia tu uyo City.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtapigwa tatu leo...Bado sijajua man city anapona vipi leo,
Torreira atakamata pimbi zote pale dimbani
Sent using Jamii Forums mobile app