Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
#HolaDenis #AFC
Kwa CTY apo ndio kazi ilipo yan apoteze game 2 mflulizo ni game kwetu yaan kutoboa n mbindeTumeingia top 4 sasa baada ya mtu kupigwa 4g ofcourse life is not fair after Bournemouth win over Chelsea.
Liverpool chupuchupi totenham naye kaponea juu juu.
Tusubiri game yetu na citu tufanye maajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa Epl kila timu inafungika, kwa hiyo sisi tumejipanga kwenda kushinda!.. Wakileta dharau ndio ubingwa wataanza kumwachia liverpool taratibu kutokana na kipigo watakachopata
Yote yanawezekana hata yeye anajua sisi wa moto na game zetu na yeye huwa nyingi anabebwa sana na marefaree.Kwa CTY apo ndio kazi ilipo yan apoteze game 2 mflulizo ni game kwetu yaan kutoboa n mbinde
Dili ya Nketiah imefeli so kijana atakuwepo klabuni- Mchezaji kinda wa Klabu ya Arsenal, Emile Smith Rowe tayari kuwasili Nchini Ujerumani kukamilisha vipimo vya afya kujiunga na Klabu ya RB Leipzig.
.
- Bingwa huyo wa Dunia Akiwa na timu yake ya taifa ya England U17, anatarajia kujiunga na Klabu hiyo ya Bundesliga kwa mkopo mpaka mwishoni mwa msimu huu hii Ni baada ya The Gunners kukamilisha Dili la Usajili wa Kiungo Denis Suarez kutoka FC Barcelona.
.
- Kinda mwingine, Eddie Nketiah nae yupo hatua za mwisho kabisa kukamilisha Usajili wake wa mkopo kujiunga na Augsburg nayo pia ya Ujerumani, anatarajia kucheza Hapo mpaka mwishoni mwa msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajakusikia mkuuLeo ndio siku dirisha linafungwa, na Leo inabid uingie usajiri mwingine (japo wa mkopo)
Aleikuwa London awaambie body ya arsenal, siku kama za leo muda unaenda kasi sana, D.suarez bado hatoshi kumaliza shida zetu
(Nimeandika kwa sauti kubwa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeumia sana kiongozi
Beki yetu mbovu mbovu kwelikweli nilifikiri atasajili japo beki mmoja mpaka kufikia Jana,hata yule mzee Cahill ilikuwa poa tu maana licha ya ubovu wetu lakini pia majeruhi yanatutesaNimeumia sana kiongozi
Unajua Suarez peke yake sio suluhu ya matatizo yetu, nafikiria mbali zaid naona Nigeria wanaingilia kati kufeli kwa usajiri ili wakilinde kitoto chao maana wakija majembe, atakosa namba. Pumbavu sana
#COYG![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sasa nimuda wa kuangalia first 11 yetu, na combination za pale mbele jinsi gan tunapika magoli kwa wingi kama wapishi wa kwenye hitima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namna mkuu ila bora tumeongeza nguvu kule mbele na hii ni tuiite unai influenceBeki yetu mbovu mbovu kwelikweli nilifikiri atasajili japo beki mmoja mpaka kufikia Jana,hata yule mzee Cahill ilikuwa poa tu maana licha ya ubovu wetu lakini pia majeruhi yanatutesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unai yuko vizuri. Tatizo ni Kroenke na kwa sasa wamemuwashia pila la adabu ataiachia timu.Hakuna namna mkuu ila bora tumeongeza nguvu kule mbele na hii ni tuiite unai influence
Najaribu kuwa lait angekuwa mzee Wenger,
Unai ndio wa kututoa utumwani uku misri ( Europe position)
Sent using Jamii Forums mobile app