Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Natamani sana mkomae na hiyo droo, tuko pamoja wakuu.
hahahahahha
Hata draw sio mbaya
Natamani sana mkomae na hiyo droo, tuko pamoja wakuu.
hahahahahha
Hata draw sio mbaya
Mkuu mbona mnateseka na Arsenal?Maombi mengine ni kumsumbua Mungu, eti uombe Arsenal ashinde. Omba tu droo Mungu ataona hupendi makuu anaweza akatoa hata penati dakika mbovu.
Mkuu mbona mnateseka na Arsenal?
Kila mtu ashinde mechi zake, acheni kutubebesha mizigo yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona mnateseka na Arsenal?
Kila mtu ashinde mechi zake, acheni kutubebesha mizigo yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal mnaupiga mwingi...
Mmaweza shinda hii game...
Msimu huu majeruhi yamefanya watu tumsahau Albino..!