DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Maisha yetu tunayajua wenyewe. Hatubabaishwi na yeyote tunaenda city kutafuta point 3 marefa wachezeshe game fair siyo akina sterling wanajiangusha kisenge senge refa anaweka tuta mara kazidi hakuna offside goli tunapigwa magoli ya kihuni.
.Kwani inamaana òzil hatokuwepo auView attachment 1010731
Denis Suarez.
Kijana siku ya jana alipiga zoezi la peke yake kuzoea mazingira.
Leo asubuhi Suarez akajiunga na wachezaji wenzie.
View attachment 1010737
Denis Suarez akipiga zoezi na mmoja wa makocha wasaidizi wa Unai Emery.
Huenda akaanza mechi na Machester City siku ya jumapili hivyo kuziba nafasi ya Mesut Ozil.
Ainsley Maitland-Niles nae ana tatizo la goti.
Boss nae amepona gego na Henrikh Mkhitaryan nae yupo fit kuanza mechi.
Kwani inamaana òzil hatokuwepo au
Kwa hiyo mkuu utamfunga City..Maisha yetu tunayajua wenyewe. Hatubabaishwi na yeyote tunaenda city kutafuta point 3 marefa wachezeshe game fair siyo akina sterling wanajiangusha kisenge senge refa anaweka tuta mara kazidi hakuna offside goli tunapigwa magoli ya kihuni.
Game inaisha mchezaji anahojiwa anasema hata maamzi ya referee yamesaidia kupata point tatu kwetu.
Ila tutawaonesha kuwa sisi siyo watoto wa mama kudadadadeki moto utawaka![]()
![]()
.
Sent using Jamii Forums mobile app


Acha kuongea pumbaKwa hiyo mkuu utamfunga City..![]()
Watu wamegharamia timu wamesajili world class players wanalipa mishahara ya hali ya juu, wewe unatuletea kina Niles, Nketie sijui wawapi hawa na unataka kushinda. SAA NYINGINE TUTUMIE NA AKILI KIDOGO KUFIKIRI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ebu pitia comment yangu ya January 5Denis barca watakuja kumjutia sana ana potential sana huyu dogo ...ball carrier, passer, ana killer passes kwenye final third, touches zake ziko vzuri akipata chance he can take it...mm nahofia physicality yake tu ila kama bernado silva kaweza kwann yeye ashindwe
Denis suarez ndani yake nauona Uisco mwingi sana.View attachment 1010785
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ebu pitia comment yangu ya January 5 View attachment 1010865
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naomba hiyo wasitugeuke tu, mwisho wa msimu aingie ndan mazimaArsenal watawalipa Barcelona pauni milioni 20 msimu ujao wa usajili kuanzia mwezi, ili kumaliza udhia.
Mbona man wana hao world class wako na wanapigwa tu what about Chelsea. Timu isipocheza as a team ni zero.Kwa hiyo mkuu utamfunga City..![]()
Watu wamegharamia timu wamesajili world class players wanalipa mishahara ya hali ya juu, wewe unatuletea kina Niles, Nketie sijui wawapi hawa na unataka kushinda. SAA NYINGINE TUTUMIE NA AKILI KIDOGO KUFIKIRI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mkataba tayari.Mimi naomba hiyo wasitugeuke tu, mwisho wa msimu aingie ndan mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Barcelona watajuta tu endapo wata muuza King Leonel Messi.Denis barca watakuja kumjutia sana ana potential sana huyu dogo ...ball carrier, passer, ana killer passes kwenye final third, touches zake ziko vzuri akipata chance he can take it...mm nahofia physicality yake tu ila kama bernado silva kaweza kwann yeye ashindwe
Denis suarez ndani yake nauona Uisco mwingi sana.View attachment 1010785
Sent using Jamii Forums mobile app