Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

The Uruguayan striker, Luis Suarez, has sent a message to the Spanish forward, Luis Suarez, on his official Instagram account story where he shared a picture of him hugging Denis Suarez, and captioned it with “Suerte Galleguito en esta nueva ETAPA” which means in English “Good luck in this new stage”
1485464554_438223_1485464638_noticia_normal.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am sure tuna uwezo wa kushinda game ya man city ikiwa full back itatulia maana nayaona magoli mengi yakifungwa na foward wetu ingawa hata sisi defenders wataruhusu magoli machache.
Arsenal atashinda game its a matter of time.
We are the GUNNERS forever.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli tuna kazi kubwa ya kufanya, hadi sasa tuna clean sheet 4 tu epl na beki zetu muhimu majeruhi. Forward zetu zimepoteza umakini hazitumii nafasi zinazopatikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale madogo hua ni wagum sana kwa nyumbu yaan jana wakat nipo kbanda umiza nilijua tu nyumbu hatok ila ole goner anaupepo sana

EPL naipendea hapo, nilishasema soon manyumbu tunamrudisha mtaa wa 6-7 kwa tofaut ya point 8
IMG-20190129-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am sure tuna uwezo wa kushinda game ya man city ikiwa full back itatulia maana nayaona magoli mengi yakifungwa na foward wetu ingawa hata sisi defenders wataruhusu magoli machache.
Arsenal atashinda game its a matter of time.
We are the GUNNERS forever.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo game ngumu kinoma kiongozi, Guardiola hatakubali kudhalilishwa na Big team nyumbani we figureout ni Big team gani anaweza pona pale Etihad

Nikitabiri Arsenal hawezidi kupata zaidi ya goli mbili kwenye hiyo mechi tatizo sasa Forward za City kama ikiwa siku yao hiyo mtapigwa hata goli zaidi ya tatu

Mfungaji wenu siku hiyo ni Lacazette na au Ozil, Auba hana kismati na Big matches
 
Wale madogo hua ni wagum sana kwa nyumbu yaan jana wakat nipo kbanda umiza nilijua tu nyumbu hatok ila ole goner anaupepo sana

EPL naipendea hapo, nilishasema soon manyumbu tunamrudisha mtaa wa 6-7 kwa tofaut ya point 8View attachment 1008429

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya Feb 15 au 18 Manchester anaenda darajani kukipiga na Chelsea michuano ya FA.Yaani mpaka mwezi wa tatu atakuwa anaisoma namba,tunamtimulia vumbi.
 
Hiyo game ngumu kinoma kiongozi, Guardiola hatakubali kudhalilishwa na Big team nyumbani we figureout ni Big team gani anaweza pona pale Etihad

Nikitabiri Arsenal hawezidi kupata zaidi ya goli mbili kwenye hiyo mechi tatizo sasa Forward za City kama ikiwa siku yao hiyo mtapigwa hata goli zaidi ya tatu

Mfungaji wenu siku hiyo ni Lacazette na au Ozil, Auba hana kismati na Big matches
Najua hiyo game ngumu tena sana, lkn hatutaenda kinyonge

But hiyo mech mm nishaitoa kafara, sare itakuwa poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ozil is a winner.....

Kwenye vitabu vya history vya Germany jina la Ozil lipo.... Ameshinda vita, Amevipiga vita vilivyo vizuri kwenye CAREER yake

Inapotokea mtu anasema Ozil ni mchezaji wa Mechi za Cardiff, Hapa ndio Unapata majibu ya Kwanini Shule za Serikali Zinafanya Vibaya Kitaaluma,
Si Kwamba Elimu Inayotolewa ni Poor, No.....
Ila ni Ni aina ya Wanafunzi wanaopokelewa kwenye hizo Shule na Quality yao

Fanya Research Pale Shule ya St. Francis ya Mbeya iliyoongoza kitaifa, Wote thinking capacity zao ni High quality

SIKU NJEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal huenda ikakamilisha usajili wa Denis Suarez kabla ya mechi na Manchester City

1548836879897.png

Denis Suarez.

Klabu ya Arsenal mwishoni wa juma hili inatarajiwa kutangaza usajili wa kwanza wa mchezaji wa kiungo Denis Suarez ambae anakuja kuchukua nafasi ya Aaron Ramsey ambae anaondoka baadae kwenda Juventus.

Arsenal imemchukua Suarez kwa mkopo hadi mwisho wa msimu ambapo inaweza kumsajili kiukamilifu kwa pauni milioni 20.

Hapo awali nilisema mchezaji huyu angekuwa asajiliwe wiki ilopita lakini kutokana na timu yake ya Barcelona kutaka Arsenal wamchukue moja kwa moja Deni bila kufanya mkopo kukawa na mazungumzo marefu juu ya dili hilo la mkopo na kwamba Arsenal hawako tayari kumsajili mchezaji yoyote yule hadi msimu ujao.

Denis pia alikuwa kiviziwa na timu za Real betis na Sevilla ambayo meneja Unai mery aliwahi kumfundisha Denis alipokuwa timu ya pili.

Denis Suarez ni matunda ya kitalu cha wachezaji wadogo wa Manchester City ambao endapo Arsenal watamsajili mwezi juini mwaka huu basi Manchester City watapata kiasi cha fedha cha pauni milioni 4, kwasababu waliweka kifungu kidogo cha kupata faida itayopatikana na usajili wa mchezaji huyo.

Karibu Arsena Denis Suarez.
 
Arsenal huenda ikakamilisha usajili wa Denis Suarez kabla ya mechi na Manchester City

View attachment 1008480

Umepotea sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Sports News

@SkySportsNews

BREAKING: The FA are investigating after a coin appeared to be thrown at Jesse Lingard during Man United's FA Cup win at Arsenal last Friday. #SSN

1
Give us the money back we need it to sign someone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom