ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,410
- 118,896
Shida ya hii timu bwana, wanahusishwa wachezaji kama kumi hivi. At the end hawasajili hata mmoja. Arsenal wabahili balaa..
Shida ya hii timu bwana, wanahusishwa wachezaji kama kumi hivi. At the end hawasajili hata mmoja. Arsenal wabahili balaa..
Kwa denis tayar kiongoz ,usiwe na wasiwasiShida ya hii timu bwana, wanahusishwa wachezaji kama kumi hivi. At the end hawasajili hata mmoja. Arsenal wabahili balaa..
Kwenye usajir kawaida hiyo,Shida ya hii timu bwana, wanahusishwa wachezaji kama kumi hivi. At the end hawasajili hata mmoja. Arsenal wabahili balaa..
Hii wiki wale jamaa hawatatia mguu jukwaa hili.. Yaani ni kimya... Kweli premier league haifai.. Yaani hata tottenham ili almanusuraJamaa ila wanaongoza possession hahahaha wanatucheka sana the gunner's
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeingia top 4 sasa baada ya mtu kupigwa 4g ofcourse life is not fair after Bournemouth win over Chelsea.Hii wiki wale jamaa hawatatia mguu jukwaa hili.. Yaani ni kimya... Kweli premier league haifai.. Yaani hata tottenham ili almanusura
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee jamaa umenitengenezea siku mno nimecheka hadi kujamba.Sasa unai anaitajika kutafuta matokeo pale etihad ata kwa figisu ili tubak pale 4 position
Apa namaanisha kuja na plan C ambayo hawaijui, plan ambayo tusilazimishe kucheza mpira ila tuwe tunaonekana kwenye mashambulizi tu (mfano Newcastle)
Apa torreira, Ramsey, kolasnic,lacazette, auba, xhaka, (nazungumzia man power)
Wanahitajika zaidi ya pumzi, apa ozil bado nafikiria awepo au asiwepo
Iwobi, elneny ata uwanjani wasije maana wanaweza pangwa kwa bahati mbaya ikiwezekana wapewe nauli waje kutembelea ndugu zao uku africa
Majerui ya walinzi yanatugharimu sana na hii ata unai ataikumbuka katika maisha yake
#COYG![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
😨😨😨Wee jamaa umenitengenezea siku mno nimecheka hadi kujamba.
Duuuh kwa kweli jukwaani raha sana.
We are the GUNNERS forever.
Sent using Jamii Forums mobile app