Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna sehemu nimiona post yake kuwa alipata kura 3...siyo asilimia 3, hapana, kura 3 tu....duuuh Mkuu Masanilo, pole sana.....

...eehhh? eti kura tatu!....
si haba bana Masanilo, angalau umevuna ulichopanda.
Sie wengine tulishazila mbegu zenyewe!
 
Jirani upo?...inakuwaje aisee!...e bana kwangu mimi naona msimu hautakuwa tofauti sana na uliopita...Ubingwa utaenda kwa Man Utd au Chelsea.Arsenal bado hatupo fit kuchukua ubingwa(hasa kwa mbinu zilizopitwa na wakati za AW)...Bado hatuna beki imara,beki zetu ni dhaifu mno na udhaifu waliuonesha kwenye mechi za Emirates Cup...kipa ndo booooomu kabisa,hatuna kipa kabisa...Pia msimu huu tutegemee ushindani mkali toka kwa Man City na Liverpool bila kuwasahau Spurs na Everton...Tutegemee burudani zaidi msimu huu....Kila la heri na timu zenu....
Umestukia mkuu? Tumpe mpaka mwisho wa mwezi tuone kama ajaleta kipa na beki mwingne wa maana basi tujiandae kushangilia pasi.
 
Wapenzi wa Gooners furahini nyiye basi.........

Cesc Fabregas commits himself to Arsenal for the season

_48638644_fabregas.jpg
Fabregas was given an extended holiday after winning the World Cup

Arsenal captain Cesc Fabregas has pledged himself to the club, ending speculation of a summer move to Spanish side Barcelona. The 23-year-old has been linked with Barca all summer, with the Gunners rejecting two bids from the Catalans.
In a statement released by his agent, Fabregas said he is "100% focused" on playing for Arsenal.
World Cup winning midfielder Fabregas joined the north Londoners from home-town club Barcelona in 2003.
More to follow.

Bookmark with:

What are these?

E-mail this to a friend Printable version
o.gif

see also

Wenger puts pressure on Fabregas
31 Jul 10 | Arsenal
Wenger ends Fabregas speculation
28 Jul 10 | Arsenal
Fabregas defends Barca shirt joke
14 Jul 10 | Arsenal
Arsenal reject Barca Fabregas bid
02 Jun 10 | Arsenal
Fabregas inspired by Wenger talk
26 May 10 | Arsenal
Fabregas keen to sort out future
14 May 10 | Arsenal
Arsenal deny Fabregas summer sale
14 Apr 10 | Arsenal
o.gif

related bbc links:

Football on the BBC
Arsenal fans' views on 606
BBC London sport
Arsenal weather
BBC Sport Premier League

o.gif

related internet links:

Arsenal

The BBC is not responsible for the content of external internet sites
 
Atasaidia walau kwenye 6 bora Arsenal wanayogombania
 
Wenger - Two goalkeeping decisions I'll make

By Nick Teale

Arsène Wenger is still pondering which goalkeeper will he his No 1 for the forthcoming season.

The Arsenal manager has also revealed that one of his four shotstoppers will head out on loan this season. But he is yet to decide who that will be.

Lukasz Fabianski accompanied the manager at a press conference in Warsaw on Friday evening. Both the 25-year-old and the Gunners' other Polish keeper Wojciech Szczesny will feature in Saturday's friendly against Legia Warsaw. However, the manager still doesn't know who will line up in goal at Anfield in just over a week's time.

"Still players fight for their place," he said. "Tomorrow Fabianski has another opportunity to show that he can play No 1.
"Wojciech is a goalkeeper of huge quality. At the moment we want to play for the title so I believe he needs some more experience to compete directly for the first goalkeeper position.

"But it depends a little bit. We have four goalkeepers, one of them will go out on loan, three have to stay so we do not know yet who will go

Naona hakuna dalili za kipa mpya kuja tutabaki kulia lia na makosa yale yale ya kila siku.
 
wenger - two goalkeeping decisions i'll make

by nick teale

arsène wenger is still pondering which goalkeeper will he his no 1 for the forthcoming season.

The arsenal manager has also revealed that one of his four shotstoppers will head out on loan this season. But he is yet to decide who that will be.

lukasz fabianski accompanied the manager at a press conference in warsaw on friday evening. Both the 25-year-old and the gunners' other polish keeper wojciech szczesny will feature in saturday's friendly against legia warsaw. However, the manager still doesn't know who will line up in goal at anfield in just over a week's time.

"still players fight for their place," he said. "tomorrow fabianski has another opportunity to show that he can play no 1.
"wojciech is a goalkeeper of huge quality. At the moment we want to play for the title so i believe he needs some more experience to compete directly for the first goalkeeper position.

"but it depends a little bit. We have four goalkeepers, one of them will go out on loan, three have to stay so we do not know yet who will go

naona hakuna dalili za kipa mpya kuja tutabaki kulia lia na makosa yale yale ya kila siku.

mkuu....arsenal is a profit making team and no longer a trophy winning team......and that will be the case until arsene wenger hangs his boots...............
 
tuko pamoja kama kuna mtu anaangalia game yetu ya mwisho ya kirafiki.

dakika ya 17 tumefungwa bonge la goli,hii timu inatupa mtihani mkubwa na inaonesha jinsi gani hatupo tayari.Wenger inabidi akachukua kipa noma.

Dakika ya 32 tumepigwa goli la pili hapa wakuu kazi hipo kwa wenger . fabianski sijui alikuwa wapi hajui hata kupanga beki zake.

dakika ya 36 tumepigwa la tatu ,tunapelekeshwa sana na beki mbovu pamoja na kipa na ndio top choice yetu ya beki msimu huu.kazi hipo wakuu game tamu sana kwani tunapewa challenge utasema ligi

dakika ya 38 3-1,chamakh kafunga kwa kichwa na hio ndio labda second shot on goal tumepata.

Kitu half time hapa wenger lazima aumize kichwa sana kutokana na mechi ya leo.
 
tuko pamoja kama kuna mtu anaangalia game yetu ya mwisho ya kirafiki.

Having been quiet on the subject of a goalkeeper all summer, Arsene Wenger is about to launch an audacious bid of up to £25 million for Liverpool Pepe Reina.

source:Eurosport.

First half goals...
GOAL FOR LEGIA! Cabral smashes one in from 25 yards. No chance for Fabianski.
SECOND GOAL FOR LEGIA! Mistake by Fabianski and Koscielny has knocked that into his own net.
THIRD GOAL FOR LEGIA! Jedrzejczyk thumps a volley into the net after some more poor defending. Defence at sixes and sevens.
GOAL FOR ARSENAL! Chamakh bravely headers that into the net ahead of Antolovic. One back for the Premier League side.
 
DuuH kumbe tuko wengi tunaangalia mie nilijua peke yangu nilikuwa na edit tu post yangu sikutaka kujaza nafasi lol.
 
First half goals...
GOAL FOR LEGIA! Cabral smashes one in from 25 yards. No chance for Fabianski.
SECOND GOAL FOR LEGIA! Mistake by Fabianski and Koscielny has knocked that into his own net.
THIRD GOAL FOR LEGIA! Jedrzejczyk thumps a volley into the net after some more poor defending. Defence at sixes and sevens.
GOAL FOR ARSENAL! Chamakh bravely headers that into the net ahead of Antolovic. One back for the Premier League side.

Kama hakuna defender atanunuliwa. hata golikipa awe nani....kwa defence nayiona hapa, basi safari hii tunaweza tukawa bottom 4...yaani hamna kitu kabisa...natamani niangalie movie badala ya mechi lakini siwezi maana ni lazima nitafungua mechi
 
Having been quiet on the subject of a goalkeeper all summer, Arsene Wenger is about to launch an audacious bid of up to £25 million for Liverpool Pepe Reina.

source:Eurosport.

siwezi kuamini kitu kama hicho,kakataa kwenda kutoa mil 4 kwa schwarzer yeye analazimisha milioni 2 ndio aende kutoa mil 25 kwa reina? tusubiri tu manake kama hato leta kipa basi ngoma ngumu sana na pia beki mwingine aje.
 
Back
Top Bottom