Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

HuYU dogo anaemueka golini anasifika sana,ule mpango wake wa mmoja kwenda on loan naona fabianski ndio aende on loa.yule mannone pia mzuri sana sema ndio hivyo Wenger akiamua jambo umwambii kitu.

Beki wanahitaji kujipanga noma kwa style ya leo tutalia sana wasipo jirekebisha.
 
Nipo hapa nasikia tu Makelele kipindi cha mwanzo. Nimeamua kuitafuta mechi kwenye TV kumbe iko tv ya TVN Warszawa (TVN Warsaw). Mwanzo nilifikiri itakuwa kwenye Station yao ya HD ya N ambayo inabidi uwe na Decoder yao.
Sasa kaingia kijana kutoka Zimbabwe ambaye mwaka jana na juzi alitesa sana kwenye ligi za Poland, anaitwa Chinyama.
Huu ni uwanja ambao umejengwa na kupanuliwa. Miaka ya karibuni, kampuni ya ITI ambayo ni moja ya kampuni kubwa sana hapa Poland, walinunua hii timu. Kwa sasa wanaleta mabadiliko makubwa sana huku tukiona wachezaji walionunuliwa kwa Euro karibu milioni 1.
Ningelitamani sana kijana wetu Ngasa walau acheze kwenye timu kama hizi. Siku zinavyokwenda, itakuwa ngumu sana maana nina imani watakuwa wanazidi kupanda grade na kudata.
 
Nipo hapa nasikia tu Makelele kipindi cha mwanzo. Nimeamua kuitafuta mechi kwenye TV kumbe iko tv ya TVN Warszawa (TVN Warsaw). Mwanzo nilifikiri itakuwa kwenye Station yao ya HD ya N ambayo inabidi uwe na Decoder yao.
Sasa kaingia kijana kutoka Zimbabwe ambaye mwaka jana na juzi alitesa sana kwenye ligi za Poland, anaitwa Chinyama.
Huu ni uwanja ambao umejengwa na kupanuliwa. Miaka ya karibuni, kampuni ya ITI ambayo ni moja ya kampuni kubwa sana hapa Poland, walinunua hii timu. Kwa sasa wanaleta mabadiliko makubwa sana huku tukiona wachezaji walionunuliwa kwa Euro karibu milioni 1.
Ningelitamani sana kijana wetu Ngasa walau acheze kwenye timu kama hizi. Siku zinavyokwenda, itakuwa ngumu sana maana nina imani watakuwa wanazidi kupanda BEI na kudata.

na wewe wa kwetu hapa au jirani yetu?
 
-----------Who is Wenger going to start with at Anfield. The defence will need to be better. That is for sure.-------------------
 
na wewe wa kwetu hapa au jirani yetu?

Kwa timu ni kuwa nimekuwa mshabiki wa kimyakimya kwa miaka mingi. Nipo tangu enzi za Ian Wright, baba yake Phillip Wright. Ila huwa nakaa kimya kwa kuogopa kupata ugonjwa wa moyo maana huwa wanakaribia kushinda lakini kimya. Huwa najikalia tu kimya na kubaki nafuatilia tu matokeo.
Huyu dogo aliyepo golini upande wa Arsenal, pia ni mtoto aliyekulia hapo uwanjani. Ni kama yupo kwao kwa sasa.
 
Jamani Sijaelewa hapa meneja alipokuwa anamzungumzia CR

On the situation with Cesc Fabregas...
"We are not in a Cristiano Ronaldo place. We are just focussed on the new season. Fabregas is one of our best players. We want him to stay and be focussed. He will be our captain this season and I hope for many seasons to come."

Which place anaizungumzia....?
 
Arsenal hawana shida ya ukata. Recession imewaliza Manure, Loserfools na Chelsick si unaona mpunga kama hautoki hawashindi.
 
Back
Top Bottom