Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
j
Inakuwaje Home B....Salama?
Shwari kamanda! Ulisikia nilienda kujaribu karata kwenye siasa? hahahahahah
j
Inakuwaje Home B....Salama?
Yeah kamanda,kuna post nilisoma kwamba umeenda Kishapu kujaribu kumrithi Mpendazote ukaangukia pua kama mheshimiwa sana Tingatinga.Shwari kamanda! Ulisikia nilienda kujaribu karata kwenye siasa? hahahahahah
Yeah kamanda,kuna post nilisoma kwamba umeenda Kishapu kujaribu kumrithi Mpendazote ukaangukia pua kama mheshimiwa sana Tingatinga.
Bwana wee,unajua wabongo wameamka,si wajinga tena.Tulijua ni lazima Kibajaji chetu(Livingrtone) lazima kiangushe Tingatinga..Kampeni zilikuwa kali hasa,hatukulala....Ndo maana tulipotea jamvini aisee...Thank God kimeeleweka na babu kakubali matokeo...Mbuzi kala mbwa...hahaaaaaHAhahahahaahh ila mzee wewe ulimtabiria yule rafiki yako Lusinde, Mzee wa Sauti za radi akakutishia anakujua ukaogopa sana! Lakini jamaa wa Mtera wamefanya walitakalo....hahahahahahah
Bwana wee,unajua wabongo wameamka,si wajinga tena.Tulijua ni lazima Kibajaji chetu(Livingrtone) lazima kiangushe Tingatinga..Kampeni zilikuwa kali hasa,hatukulala....Ndo maana tulipotea jamvini aisee...Thank God kimeeleweka na babu kakubali matokeo...Mbuzi kala mbwa...hahaaaaa
Wananchi wako macho sana! nadhani habari za Kyela unazo
Muulize Sikonge ana full mkanda🙂 ha ha
Pole sana kwa kukosa kura za maoni na wewe!!Old chap,ha ha
Mh Rev Masanilo, inapendeza sana....subiria 2015 nitaenda na sera zenyemashiko na uowongo zaidi......! Arsenal fans kuleni CCM kura Chadema.....BJ naweza iazima sahihi yako?
Ooh Rev.Masa kwenye hilo game la siasa ni kutokata tamaa japo unatumika kwelikweli kuanzia pesa halafu hupati kitu..Jipange upya!!
Yes ofcourse, azima hiyo sahihi no worries Rev!..God bless🙂
Niwekee picc ya Walcott,nimemwomba Wacha1 kala bati..Arsenal nzima nampenda yeye na prof!!:tongue:
Naona wivu
Enjoy na hii!![]()
jamani picha tu wivu?je nikija Emirati kumtafuta si tinga tinga litanimaliza..ha ha
Wacha kaniwekea, yani mwangalie mwenyewe Walcott!..katuliaa
Mtera????
ndiyo kitu gani?bwawa au?
HAhahaha mchokozi wewe! Jimbo mla uchaguzi tinga tinga anavua samaki huko
nimtakie nini huyu mzee jamani Rev,mwache apumzike kulea wajukuu!!..atakuwa mpenzi wa Fulham nahisi,ha ha
Nenda thread ya Emirates-New Era utaona pics za Arsenal incl.Walcott..nice ones
..." Mzee wa Kura tatu" ndio nini kutujazia post za siasa hapa jamani?
Arrrggggghh! ...unamfanyisha mpaka BJ nae akuige!
Wacha1 weka picha bana! Msimu huu maneno machache picha kwa wingi..!
![]()
Cesc Fabregas... won the World Cup with Spain
...International Watch: 14 Gunners called up!!!