Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Walcott inabidi ajaribu ku-improve final ball zake kwani huwa anaata nafasi nyingi sana ya kutengeneza magoli lakini hatumii vizuri.
 
Chris Waddle alisema Walcott pamoja na kuwa na kasi na ni mchezaji mzuri ila hana football brain, na hili ni kweli, kwa kiasi fulani ana-improve ila maamuzi yake mara nyingi huwa mabovu, timing yake ya ku-release mpira ni mbovu na sehemu ya kuweka krosi basi yeye atataka kufunga hata kama ni impossible angle.
 
...he!? yaani bado tu haja improve huyu? jamani eeh...mimi presha ishaanza kupanda hapa!
 
Vijana wako mazoezini tu. AW anajaribu kuona jinsi ambavyo anaweza kubadili formation na kutumia style mbali mbali. Kipa unakuja kutoka Italy inshallah. Nguvu zote hivi sasa ni fungua dimba Anfield kwa loser fools.
 
Wakuu mpo habari za siku kibao?

Arsenal safari hii ni lazima wapate kombe.

U138P200T1D331710F8DT20100801012102.jpg

Jana Chamakh aling'ara sana akicheza nafasi ya Van Persie ambae ameongezewa likizo na Fabregas pamoja na Alex Song Bilong.

chjamk_516x350_135772a.jpg

Chamakh akishangilia goli alilofunga dhidi ya AC Milan pamoja na Jack Wilshere, Samir Nasri na Emmanuel Frimpong.

pato-main_12_682x4_1096469a.jpg

Kuna wasiwasi mkubwa kwa kipa Lucas Fabianski na jana hakuweza kuzuia goli lisifungwe na Alexandre Pato.

Wenger bado anatafuta beki mmoja baada ya Sol Campbell kwenda Newcastle na labda kipa. Wenger hana imani kabisa na makipa alio nao baada ya blunder walizofanya msimu uliopita.

spahic_280x420_135454a.jpg

Beki wa kati Spahic mwenye asili ya Bosnia.

Emir Spahic wa Montpellier huenda akanunuliwa ikiwa Wenger atashindwa kumnunua Per Mertesacker kutoka Welder Bremen ya Ujerumani.
 
...kwema tu hapa, za likizo? karibu tena.
 
Naona Arsenal wameponea chupichupi kwene kikombe chao cha mbuzi...lol
 
Wakuu hivi inakuwaje...kuna mechi Arsenal wanakuwa mbele say magoli mawili kwa bila LAKINI timu pinzani wanayarudisha. Leo celtic walikuwa nyuma kwa magoli matatu, wakarudisha mawili na kama zingeongezwa dakika pale huwenda wangerudisha la tatu.....huwa inaniuma kweli, tumeshinda/tuko mbee magoli mawili, yanarudi.......iiiiii
 
mkuu inamnaanisha kwmba beki zetu bado ni goi goi.
 
...hizo chupu chupu anazosema 'Rossoneri' ndio zinazonikosesha raha mimi!
Raha ya mpira kujiamini, sio kuwekana roho kooni mpaka dakika ya 90, ...ukipaliwa tu watu wanakubadilisha jina.... -marehemu!

...hata Van Persie na Fabregas wakirudi likizo, inajionyesha wazi kwenye Defence bado tatizo! Tunahitaji kipa mwenye uwezo wa ku organize defence!
 
It's gonna be a loooooong season for you, Mr. Gnat....:lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala:
 
Arsenal kufanya surprise kwa kununua wachezaji wawili kwa mpigo. hio ni kwa mujibu wa tetesi ndani ya duru za mpira.

Mzee Wenger anataka kuwa na ngome imara ya ulinzi na kipa.

sports-news-may-2010.jpg

Serdar Tasci mwenye asili ya Uturuki ana miaka 23.

220168.jpg

Mjerumani Rene Alder ambae ana umri wa miaka 25

Leo jioni hii kuna taarifa kwamba huenda Arsenal ikawanunua wachezaji wawili kwa mpigo kutoka timu
ya Stuttgurt ya Ujerumani na Bayern Leverkuzen.

Nao ni beki wa timu ya taifa ya Ujerumani Serdar Tasci na Stuttgurt na kipa wa Ujerumani na Bayern Rene Adler ambae aliachwa kucheza world cup kutokana na kuwa majeruhi.

Wachezaji hao wawili watagharimu kitita cha millioni 22.
 
...ha ha ha...Peasant!!! vipi, Drogba keshapona ngiri? nimesoma kafanyiwa operesheni. Mnyama akikung'ang'ania nuksi sana yule!
 
...hizo chupu chupu anazosema 'Rossoneri' ndio zinazonikosesha raha mimi!
Raha ya mpira kujiamini, sio kuwekana roho kooni mpaka dakika ya 90, ...ukipaliwa tu watu wanakubadilisha jina.... -marehemu!

...hata Van Persie na Fabregas wakirudi likizo, inajionyesha wazi kwenye Defence bado tatizo! Tunahitaji kipa mwenye uwezo wa ku organize defence!

Mbu :A S-heart-2: Arsenal, hivi umepewa nini!..Shabiki wa kweli!!..EPL ije tu presha nazo zianze🙂
 
...ah ahaahha... acha tu!
Nikikujibu, mishabiki ya Chelsea na Manure itanivamia hapa!
Oooppsss, sorry..kumbe nawe ni Man U vileee...aha haa..!
 
Arsenal kufanya surprise kwa kununua wachezaji wawili kwa mpigo. hio ni kwa mujibu wa tetesi ndani ya duru za mpira.

Mzee Wenger anataka kuwa na ngome imara ya ulinzi na kipa.

sports-news-may-2010.jpg

Serdar Tasci mwenye asili ya Uturuki ana miaka 23.

220168.jpg

Mjerumani Rene Alder ambae ana umri wa miaka 25

Leo jioni hii kuna taarifa kwamba huenda Arsenal ikawanunua wachezaji wawili kwa mpigo kutoka timu
ya Stuttgurt ya Ujerumani na Bayern Leverkuzen.

Nao ni beki wa timu ya taifa ya Ujerumani Serdar Tasci na Stuttgurt na kipa wa Ujerumani na Bayern Rene Adler ambae aliachwa kucheza world cup kutokana na kuwa majeruhi.

Wachezaji hao wawili watagharimu kitita cha millioni 22.

Kuna Cahill pia yule wa Bolton,ni beki mzuri tu na kocha wao kasema kama tuko serious wanaweza kumuuza hili wapate hela ya kununua wachezaji wengine.Sasa AW kwa ubahili wake sijui anazubaa nini lakini Cahill ni beki powa na pia ligi anaijua vizuri na ni muingereza.

Anyway offseason hii nilisema sitapekua kabisa habari za usajili manake AW huwa anapenda kutuumiza vichwa vyetu sema nashindwa sometimes kukaa nazo mbali nikipita hapa jukwaani.Tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom