Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aluta hio bado hatujatoka kwenyebio za big 4 mpaka wiki ijayo mambo ni faya ozil atakipiga belle nae karudi so itakua poa

Ozil mturuki yule mwenye misimamo tayari kashaipiga chini Arsenal kama alivyowafanyia ujerumani.

Mwenzako tayar PSG, JUVE na AJAX wanamtaka
 
TUNAWAKUMBUSHA TU, NEXT WEEK NI CHELSII vs ARSENANE
[emoji3][emoji3]


Sent using Jamii Forums mobile app

Na kwa tetesi za chinichini ni kuwa Hazard ana hasira balaaa mpaka alikuwa analia leo kwenye training kuwa sasa anataka kuanza kuonesha makali yake kupitia next game yao na Arsenal.

Hivyo wajipange haswa
 
Arsenal hata wakiongoza ligi kwa tofauti ya point 20 mwisho wa siku utajikamatia tu
 
Ni swala la muda tu tutaanza kusikia
UNAI OUT
UNAI OUT
UNAI OUT
 
Hii mechi yenu na Chelsea nahitaji mshinde ili gape liwe la point 3. Man U tusogee taratibu wakat sis tunamtafuna Brighon vizur, tutalingan point na nyie huku tunamtoa chelsea pale. Kuen serius.
#Emery Out#

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom