Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mnakufa nyie
tapatalk_1533307353670.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zimebaki siku 4 muanze rasmi kugombea nafasi ya 6 na wakna wolves huko.

Hii sio team, na haijawah kuwa team bali ni pango la walowezi wanaovaa jezi.
 
Ni sehemu ya matokeo, haimaanishi hatuna kikosi nafasi ya nne bado ninaiman ya kuipata safar haijafika mwisho ndo kwanza mech ya pili mzunguko wa pili, timu zote zinafungwa tu si Aseno peke yake cha msingi ni mapambano, Cha kupambana ni kurudi UEFA lakin tupate kikombe hata kimoja
 
Back
Top Bottom