Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ARSENAL IS BY FAR THE GREATEST TEAM THE WORLD HAS EVER SEEN!!!!!!!!!!!

I was born to be an arsenal fan. i dont care about any other football team apart harambee stars. all other football teams can go to hell for all i care(nothing personal)

I AM A GUNNER!!!!
 

...together we stand, tunataka mashabiki kama wewe humu.
e bana weeee, ha ha ha...!

jitahidi uwe nasi mpaka may mwakani!...
 
...together we stand, tunataka mashabiki kama wewe humu.
e bana weeee, ha ha ha...!

jitahidi uwe nasi mpaka may mwakani!...

Heshima yako mkuu mbu!
Huyu ndugu yetu kasema yeye ni wetu...hivi Taifa Stars vs Harambee Stars ipi yake! Inawezekana mkuu ni jirani (mkenya)!....
Karibu sana nomasana
 
Wakubwa samahani kidogo ,MASANILO anagombea jimbo gani?
Kwakweli mimi sifahamu ila mara ya mwisho nilimuona yupo kwenye kambi ya Bilal kama si a Shein, na safari hii anaweza akawa M-Arsenal maana dalili zinaonesha hivyo...mkuu Belo karibu sana Gunners....hebu tuwasubilie akina mbu, balantanda, arsene wenger, kweli,peasant, BAK, wacha, nomasana, nk wanaweza wakawa na jibu kuhusu masanilo
 
Hawa ndio wale kina Omondi
 

Naona tumsubiri Kibunango atakuwa na full data jimbo gani Mheshimiwa Masa anagombea, sijui Rahaleo ama Mwanakwerekwe?
 
Hawa ndio wale kina Omondi
Kwa nini Belo? kisa ana machungu na Gunners? Jee na wewe tuseme ndio akina Prem Chopra? kwa maana manazi wenu wakubwa ndio akina Sunjit Singh.
 
kuanzia sas wewe ni[ safi sana] tupo pamoja mkuu. Naomba majina ya wana jf woote ambao ni the guners.yeyote anaweza kunipostia kwa kuanzia na mimi.na je mark swarzer je kasajiliwa?
]
 
:nono::nono::nono:

Bado una-pape tu? Majuto mjukuu usikimbie tu. Khe khe khe khe ... .... ngoma itaanza karibuni.

Wapenzi wote wa Gunners mwaka huu muarobaini umekwisha andaliwa na wataunywa tu wapende wasipende first stop Kwa Loserfools .... .... ....., mwaka jana walikuwa na bahati ya mtende mwaka huu mtende umeondolewa.
 

Hahahahaha msiba mwingine huu, angalia usijinyonge kama Omondi maana ndio zenu Gunners wa Nairobi.
 




Same old Arsenal song "Mwaka Huu Watatukoma Ubingwa Wetu Emirates"......"Mwaka Huu Wetu" my foot!! Another trophy-less season on making..lol :doh::doh::doh::doh:
 
Hahahahaha msiba mwingine huu, angalia usijinyonge kama Omondi maana ndio zenu Gunners wa Nairobi.

bwoy you better think twice before you talk. i have been an arsenal fan before arsene wenger came to arsenal. unlike you who became a chelsea fan since 2005. wewe ni shabiki FAKE!!! if chelsea dont win a trophy for 3 seasons you will quit being a fan. FACT!!!

my arsenal fanhood goes way past trophies. i am not a johnny come lately like you.
 
Same old Arsenal song "Mwaka Huu Watatukoma Ubingwa Wetu Emirates"......"Mwaka Huu Wetu" my foot!! Another trophy-less season on making..lol :doh::doh::doh::doh:

yeah spoken like a johnny come lately fan.

watu wa chelsea kazi yao ni mdomo tupu. LET THE NUMBERS DO THE TALKING.

ARSENAL
Premier League winners: 1998, 2002, 2004
Runners-up: 1999, 2000, 2001,2003, 2005
Division One winners: 1931, 1933, 1934, 1935, 1938, 1948, 1953, 1971, 1989, 1991
Runners-up: 1926, 1932, 1973
Division Two runners-up: 1904
FA Cup winners: 1930, 1936, 1950, 1971, 1979, 1993, 1998, 2002, 2003, 2005
Runners-up: 1927, 1932, 1952, 1972, 1978, 1980, 2001
League Cup winners: 1987, 1993
Runners-up: 1968, 1969, 1988, 2007
Champions League runners-up: 2006
European Cup-winners Cup winners: 1994
Runners-up: 1980, 1995
Inter-Cities Fairs Cup winners: 1970
UEFA Cup runners-up: 2000
UEFA Super Cup runners-up: 1994
VICTORIA CONCORDIA CRECIST = VICTORY(or should i sayVICTORIES) THROUGH HARMONY

chelsea
Premier League winners: 2005, 2006, 2010
Division One winners: 1955
Division Two winners: 1984, 1989
Runners-up: 1907, 1912, 1930, 1963, 1977
FA Cup winners: 1970, 1997, 2000, 2007, 2009, 2010
Runners-up: 1915, 1967, 1994
League Cup winners: 1965, 1998, 2005
Runners-up: 1972, 2008
European Cup-winners Cup winners: 1971, 1998
European Super Cup winners: 1998
European Cup runners-up: 2008

by the time chelsea win as many trophies as arsenal you peasant will be dead.

dont forget the fact that ARSENAL is the only team in premiership history to go 49 games without losing a single game. That is something chelsea have not and will NEVER accomplish.

listen johnny come lately Peasant, you can run your mouth all day about how great chelsea is but the numbers will NEVER EVER LIE!!!!
 

Mkuu mbona unamvua nguo hata kabla ya kitale kuanza? Muone huruma tu huyu Abraham o vich akiondoka ndio kwishney. khe khe khe kwi kwi kwi kwi ..... ...... ......
 
Mkuu mbona unamvua nguo hata kabla ya kitale kuanza? Muone huruma tu huyu Abraham o vich akiondoka ndio kwishney. khe khe khe kwi kwi kwi kwi ..... ...... ......

LOOOOL!!!!!

Wacha1, wewe una vichekesho kibao!!!!!

we gotta put these SO CALLED chelsea fans into their place. peasant doesnt understand that you can be a great club without having a sugar daddy buy the trophies for you
 
LOOOOL!!!!!

Wacha1, wewe una vichekesho kibao!!!!!

we gotta put these SO CALLED chelsea fans into their place. peasant doesnt understand that you can be a great club without having a sugar daddy buy the trophies for you

like man utd:smile::wave:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…